"Pale taasisi inapojengwa juu ya mtu mmoja badala ya misingi, huishi kama kivuli cha maisha ya huyo mtu. Na pale ukanjanja unapochukua nafasi ya utawala, taasisi hugeuka kuwa hadithi ya muda mfupi...
Nimetembelea masoko mbalimbali hapa Tanzania, hali ya Usafi kwakweli huwa sio nzuri, takataka, harufu mbaya, mitaro ya maji taka, vyoo vina hali mbaya .
Kwanini watanzania hatuna utamaduni wa...
Kuamka kiroho ni hali ya mtu kufumbuliwa macho ya ndani (macho ya roho) na kuanza kufahamu ukweli wa kiroho, uwepo wa Mungu, kusudi la maisha, na hali ya ulimwengu wa roho. Ni kama kutoka...
Kuna msanii wa hapa kwetu Tanzania Alisha wai kusema maisha Yana ubongo wake
Sasa ndugu yangu Kama wewe sio mtu wa kuchunguza Mambo unaweza mwona aliandika hivyo au kuimba hivyo ili tu kuvi weka...
Mhu 3:20 SUV
[20] Wote huendea mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena.
Kuongelea kifo sio jambo linalopendwa na wengi, sio jambo tunalolipenda, na ukiona mtu...
Pomoja na biblia kutowa mwongozo kuhusu wajane wa kweli na wagane wa kweli.Lakini kumekuwa na tatizo kubwa la watoto na watu wazima ombaomba jambo ambalo linatafakarisha na kudhalilisha.
Kuna...
NAIROBI: Rais wa Shule ya Utawala Afrika (ASG), Profesa Kingsley Moghalu, amesema changamoto za utawala zinazozikabili nchi nyingi barani humo haziwezi kutatuliwa kwa kutegemea kutumia mifumo ya...
Katikati ya uhai na kifo, hapo ndipo kuna maisha yako..
Kabla hujafa, wewe ndio adui mkuu wa furaha yako..
Ukiwa hai wewe ndio star, wa kuchagua uwe na tabasamu lipi.
Madeni yako ni wakati...
Mhu 2:18 SUV
[18] Nami nikaichukia kazi yangu yote niliyojishughulisha nayo chini ya jua; maana sina budi kumwachia yeye atakayenifuata.
Vizuri sana kuwa na bidii katika maisha, fanya kazi kwa...
Huu uzi sio wakuwaboa watu ila ni ukweli usiopingika na huu uzi hauwahusu waajiriwa wa sekta ya afya na ualimu nyie mnatakiwa mzidi kuajiriwa hata wote mtaani mchukuliwe tu sina shida na nyie
Ila...
Laana ni neno linalotumika katika lugha nyingi, hasa katika muktadha wa dini, jamii, na tamaduni mbalimbali, kuelezea hali au matokeo mabaya yanayokuja kwa mtu, kundi, au kitu fulani kama matokeo...
Habari za muda huu waungwana......
Huko kwenye vituo vyenye biashara ya kuuza mafuta ya kuendeshea vyombo vya moto maarufu kama "SHELI" kama ilivyozoeleka na wengi....kuna mavazi ambayo kwa jicho...
Mtaa wa Majengo eneo la Kinzudi - Salasala Jijini Dar es Salaam kuna dampo kubwa ambalo linahatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani.
Eneo hilo linalotupwa taka ni bonde, hivyo...
Wananajamvi kwema jamani, walevi wenzangu rasmi leo nifuteni kwenye chama, juzi nimelewa nikatia aibu kwenye sherehe ya kazini, bado nikaenda kutia aibu kwa majirani,
Tutaonana wakati mwingine
.
Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu Kristo alitupa neema ya kuendelea kuitenda kazi yake aliyotupa hapa Duniani.
DUNIANI KUNA MAKUNDI MENGI YA WATU LAKINI LEO HII NAOMBA NIKUPE AINA MBILI ZA...
Majina ya wanyama katika Biblia ni lugha ya picha iliyotumiwa kama kielelezo cha tabia, nafasi, au hali ya kiroho. Ni muhimu kuyasoma kwa muktadha sahihi wa kitamaduni na wa kimaandiko. Hii...
Nani anakujua vya kutosha kugundua kuwa hupo sawa, hata kama bado unacheka? Cha kushangaza zaidi Ndugu zetu na wake zetu wamekua kimasirahi zaidi bila kuwa na intimacy au passion.
Nani ataruka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.