Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Epuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo. Hata ukipiga msuaki epuka sana kutema mate kwenye tundu la choo/bafuni. Usipende kuongea chooni/bafuni. Usipende kukaa mda mrefu choo/bafuni...
18 Reactions
169 Replies
10K Views
Naomba msaada kujua mwongozo au kanuni rasmi zinazohusu uanzishaji wa makanisa katika maeneo ya makazi hapa Tanzania. Mimi ni Mkristo na ninaamini kwa dhati katika uhuru wa kuabudu. Hata hivyo...
1 Reactions
2 Replies
347 Views
Baada ya Rais Samia kutangaza kuongeza mshahara kwa 35% kwa wale wenye kima cha chini ambapo hapo awali kima cha chini kilikuwa 370k Kwa maana hiyo 370k imejump hadi 500k. ambao ndio mshahara wa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wangu tangu nimeanza kufatilia siasa nimeona kwamba watanzania wengi wamejaa kwenye uchama na sio Fikra zao binafsi Kila jambo litakalosemwa na kiongozi wa chama alichochagua...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi. Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini ikiwa ni pamoja na kujenga uzio katika shule mbalimbali za msingi kwa kuzipa kipaumbele shule zenye watoto wenye mahitaji maalumu. Hayo...
0 Reactions
2 Replies
352 Views
Wakuu sana naomba kuuliza salary scales za watumishi wa COSTECH
0 Reactions
6 Replies
911 Views
Mapema leo mida ya Saa 12 asubuhi EATV imepokea taarifa ya kutokea kwa ajali ya gari kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Sam Nujoma, maeneo ya Mwenge Mataa ambapo Lori lililokuwa linatoka...
1 Reactions
0 Replies
482 Views
Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne ...
8 Reactions
225 Replies
21K Views
Nimekaa nimewaza sana sipati majibu iweje Mwanaume kamili anawaza kua upande wa pili?..Nina marafiki wa kike kama watatu kwa nyakati tofauti nilisikia wakisema wanatamani wangezaliwa wa kiume...
2 Reactions
5 Replies
695 Views
Kuelekea uchaguzi, kila chama kimetengeneza kauli mbiu yake. CHADEMA wanatembea na NO REFORMS, NO ELECTION. Hawajabadili kauli mbiu yao tangu waitangaze kwa Umma. Kwa upande mwingine, chama...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imeanza utekelezaji wa uchimbaji wa visima virefu 67,000 vya maji kwa ajili ya kiliko cha Umwagiliaji nchini. Lengo ni kuhakikisha kuwa Taifa...
0 Reactions
1 Replies
401 Views
Baada ya baadhi ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Halmashauri ya Songea Mkoani Ruvuma kuungua kwa moto ikiwemo mabweni ya Wanafunzi wa kike pamoja na stoo ikidaiwa kuna...
16 Reactions
112 Replies
5K Views
Danieli 2:27-45 27 Danielii akajibu mbele ya mfalme, akasema, Ile siri aliyoiuliza mfalme, wenye hekima hawawezi kumfunulia mfalme; wala wachawi, wala waganga, wala wanajimu; 28 lakini yuko Mungu...
1 Reactions
3 Replies
390 Views
Wakuu tushirikishane hili jambo. Katika Biblia, nimesoma kwamba, (awali) Mungu alipokuwa sanjari na Waisraeli. Kuanzia Musa mpaka Joshua. Baada ya hapo, Waisraeli wakataka wawe na mfalme wao...
2 Reactions
1 Replies
519 Views
Humu njiani tunavyosafiri baadhi ya mikoa tunaenjoy sana kutokana na utulivu wa safari unaosababishwa na barabara laini,lakini changamoto baadhi ya mikoa mmeweka matuta yale madogo madogo ma4...
0 Reactions
7 Replies
375 Views
Diwani wa Kata ya Kishapu Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Joel Ndettoson Juni 9,2025 ameendelea kuonyesha usimamizi mzuri ulioleta mabadiliko wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani...
15 Reactions
121 Replies
5K Views
Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani, Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga...
17 Reactions
111 Replies
5K Views
Wakuu mi binafsi sina namba ya NIDA lakin nina passport ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na nimeshasafiri nchi zaidi ya 35. Asa wakuu wa jf mnaniweka kwenye kundi gani? Mnipe mchongo wa...
7 Reactions
66 Replies
3K Views
Back
Top Bottom