Nimemkumbuka rafiki yangu wa utotoni Babu Sikare RIP
Babu Sikare alizaliwa familia ya kishua,baba yake alikuwa mkurugenzi TANESCO,alijulikana mitaa yote ya Msasani,Oysterbay na Masaki.
Vabu Sikare...
Kuna watu wanajua kutunza magari.Huyu anaitwa Gregorios Sachinidis, dereva teksi kutoka Ugiriki, ambaye aliendesha gari lake la Mercedes-Benz W115 240D la mwaka 1976 kwa umbali wa kilomita milioni...
Kuna aina kuu tatu za sumu za nyoka. Kila moja huwa na matibabu yake na hupatikana kwa aina fulani za nyoka. Ndiyo maana mtu akiumwa na nyoka hushauriwa kufahamu nyoka aliyemuuma ili kujua aina ya...
Wasaalam wanajamvi,
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.....
Licha ya Serikali kupambana kwa juhudi zote kuhakikisha watoto hasa wa kike wanapata elimu kuanzia ngazi zote ili iweze kuwasaidia kwa...
Imeelezwa kuwa tatizo sugu la foleni katika barabara za jiji la Dar es Salaam linaweza kuongeza msongo wa mawazo kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri, kuchochea uchovu kwa madereva na abiria na...
Kwa wale waliofatilia MR robot
Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala.
Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
Naomba ni elimishwe kwenye hili suala rafiki yangu wa karibu ni mkuristo alikua ananiubili akaniambia mambo mengi kuhusu dini yake ya kikuristo ila sukuweza kumuliza anayastowa wapi nilijua ata...
Kwa kuwa namba za simu zote zinaelekea kusajiliwa kwa alama za vidole na matumizi ya simu janja yakiwa yanaongezeka kwa kasi, nadhani ni wakati muafaka sasa kuacha kutumia S.L.P na badala yake...
Kuna nyie wazazi ambao mnatabia za kizungu, unajua mtoto bado mwanafunzi especially wa kike, alafu unamruhusu kumiliki simu janja
Tukiwatongoza na kuwapa mimba ,mnataka tuanze kushikana mashati...
Kwema Wakuu!
Kutokana na mjadala fulani uliokuwa unaendelea katika Jukwaa la Intelligence nimeona nianzishe uzi huu kwa lengo la kujifunza na kuweka mjadala huru. Pia kupima katika mizania ya...
Kuna mdada anayeishi Tabata, ambaye aliwasajiliwa laini na mawakala wa Airtel waliokuwa wakipita mitaani.
Bila yeye kujua, mawakala hao walifanya SIM swap kwenye laini yake. Baadaye, wale...
Muumbaji wa hii dunia aliweka kanuni zinazojiongoza zenyewe kupitia matendo yetu ili kuibalance Dunia.
Hizi si kanuni za dini fulani,
Kwani zinafanya kazi kwa watu wote duniani bila kujali rangi...
"Roho wa Bwana hataruhusu hayo, anapenda amani iwe kwenu. Hakuna amani bila haki na kama amani itakuwa kwenu, haki ni msingi wake, Roho Mtakatifu anataka awafariji hawa waliopoteza waume zao...
Prof. Kighoma Ali Malima ameacha hazina kubwa ya kumbukumbu zake kuhusu mwenendo wa serikali wakati akiwa Waziri wa Fedha katika serikali ya Rais Ali Hassan Mwinyi.
Hiki kilikuwa kipindi muhimu...
Yule uliemuua ili uchukue pesa zake pale benki..
Ndugu zake walimzika kwa vilio, na Dunia nzima ililaani kitendo kile..
Yule bondia mwenzio ulingoni, uliempiga mpaka akazimia..
Mkewe alipiga...
Makundi yote ya WhatsApp Tanzania yamegeuka kuwa makundi ya ushabiki wa SIMBA & YANGA. Hatukatai kwamba mpira ni burudani kubwa sana hapa nchini, lakini sasa imekuwa kero kwenye makundi ambayo...
Dar es Salaam, 05 Juni 2025 – Benki ya CRDB imeandika ukurasa mpya wa mafanikio baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo ya Benki Bora kwa Wajasiriamali Wadogo na wa Kati (SME) katika hafla ya tuzo za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.