Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wasalaam! Wakuu naomba mnipe ufafanuzi kidogo juu ya mawingu ya mvua kwani kila nikijiuliza maswali kadha wa kadha juu ya mawingu sipati majibu. Yafuatayo ni maswali ambayo huwa najiuliza kuhusu...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Turudi nyuma kuna kampuni ya volkswagen ilikuja tanzania kutaka kuwekeza ila kona kona nyingi na maono ya kisiasa yakaonesha kwenda nchi jirani ambayo rwanda. Star link ambayo inatumia setelite...
1 Reactions
6 Replies
312 Views
Mara nyingi, tumekuwa tukisikia taasisi za kijamii, wanaharakati, wananchi nk wakiilaani nchi fulani au viongozi wa kisiasa kwa madai kwamba wamekosea au kutenda jambo linalowaletea maumivu...
1 Reactions
11 Replies
614 Views
Pale haki ilipotendeka...askari hasa wa vyeo vya chini,wamejikuta wakipoteza ajira na future yao yote Hivi umemkamata mtu ukamfikisha kituoni...hajabisha amekiri ukweli...nini huwa kinawapanda...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
guest-1793390367
Aisee hivi inakuwaje ama natakiwa kufanyaje gari yangu ina faini na namba ya leseni iliyomo kwenye faini siijui na sijui imekuwaje mpaka leseni namba hiyo ambayo siijui imeandikiwa faini kwenye...
1 Reactions
7 Replies
593 Views
Kwetu hapa bongo nimeona bado nyuzi jazijatumika kwa ukubwa na upana wake .. Mpaka sasa wanunua nyuzi wengi wamejikita kwenye mavazi kaka Masweta Soksi za watoto Vizibao Kofia nk Vikapu Lakini...
1 Reactions
48 Replies
1K Views
Kule Kenya IGP wao ameomba radhi kwa kutoa taarifa za uongo dhidi ya kifo Cha ojwang' yule kijana pekee kwa baba na mama yake kama nilivyomimi jamani inauma. Sana Wakenya sjui kama watasamehe...
0 Reactions
2 Replies
389 Views
Salaam, shalom! Baada ya Mungu kuruhusu mtu kula nyama, alimkataza Kula Damu ya mnyama. Yaani ukichinja myama au ndege, Damu yake hupasi kuitumia Kwa matumizi ya chakula, ni machukizo maana ndani...
3 Reactions
92 Replies
3K Views
Wana jf kwa anayejua viwango vya mishahara serkalin nisaidieni hz TGS C, TGS B, TGS A.. Nk ndio sawa na sh ngp...? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
18 Replies
12K Views
Baada ya kuusikiliza wimbo wa True Boy (Nay) na kuitazama video yake, nimepata ujumbe kuwa; 👉 Nay anazidi kuushangaa umma wa watanzania kwa namna unavyoshindwa kuchukua maamuzi ya pamoja kwenye...
2 Reactions
4 Replies
492 Views
Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na...
2 Reactions
4 Replies
420 Views
Watani zangu wasukuma sio wageni ila ukweli hata sehemu za mafuta jangwani kwa waarabu kuna nyoka waliweza kulinda utajiri. Ni kwamba VITABU vya mungu kwenye biblia yesu aliambiwa ukinitumikia...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Usiku wa leo wanaitaka roho yako! Leo usiku roho yako itachukuliwa! Leo usiku maisha yako yatafikia mwisho, utaondoka duniani... Usishtuke wala usiogope; sio wewe! Maneno hayo aliambiwa mtu...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Teknolojia inakimbia watafiti wamefanikiwa kuunda lensi simple, laini ndogo ambayo huwafanya watu kuona kitu ambacho hawajawahi kuona hapo awali. Timu hiyo ndogo ya Watafiti iliweza kuchukua muda...
2 Reactions
1 Replies
251 Views
Ndugu watanzania jambo lolote lililoharamishwa nchi hii huwa limetungiwa sheria kali. Na yeyote atakayelishabikia ama kulitenda jambo hilo huangukia kwenye mikono ya sheria. Si mnaona mimea ya...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Serikali ni vema kuliangalia hili kwa kina na kuchukua hatua za haraka. Mfano kwasasa katika mikusanyiko mingi ya wasanii lazima ukute shoga maarufu yumo na bahati mbaya sana anapewa coverage...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Naomba kufahamu au kujuzwa kwa mwenye ujuzi mkubwa, kwa kawaida malaika Hawa ni viumbe wa Mungu, Gabriel, Mikael, Rafael na Uriel, na asili zao, mfano Gabriel Ana asili ya maji, Uriel Ana asili ya...
3 Reactions
5 Replies
322 Views
Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mradi wa life science ni kurudisha extinction animals waliopotea kama Dinasours woolly mammoth Atlas bear Many others Hizo njia ni kama zifuatazo DNA seguencing...
8 Reactions
76 Replies
2K Views
“Ukitumia mitandao vibaya sheria ipo na mamlaka na vyombo vipo vitakupata, sasa wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma nikisema mnasema Msigwa ametusemea maneno makali, lakini...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Mradi wa Treni-Ndege ya umoja wa Kisovieti (Soviet Jet Train) ulianza katika miaka ya 1970 kwa wazo rahisi, weka injini za ndege ambazo haziwezi kutumika tena angani, lakini bado zinaweza kutumika...
1 Reactions
4 Replies
457 Views
Back
Top Bottom