Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nipo hapa Dodoma ni mwaka wa 18 mpaka hivi sasa, cha kushangaza katika miji mingi wanapima viwanja lakini wanasahau kuweka viwanja vya michezo pamoja na vya kucheza watoto! Inatakiwa hili...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Tafadhali husika na iyo mada leo nimeenda kumtembelea ndugu yangu katika maongezi alinambia wao chooni kwao yeye na mumewe hawavai viatu kabla sijamshauri nakuja kwenu munipe na mm ushauri je hili...
5 Reactions
84 Replies
2K Views
Habari wajameni, Nimekuwa nikijiuliza swali hili wala sipati jibu : kwa kawaida anapotokea shekhe katoa msimamo wake binafsi katika maswala ya kijamii bila hata ya kunukuu kwenye vitabu vya dini...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Comfort zone is toxic☣️ Comfort zone is a trap🪤
0 Reactions
1 Replies
207 Views
Hii italeta utulivu na usawa ndani ya chadema na kuondoa dhana ya chuki, dhihaka na ubaguzi dhidi ya viongozi wa kutoka Zanzibar na dhana ya kuitenga Zanzibar katika masuala mbalalimbali ikiwa ni...
0 Reactions
25 Replies
992 Views
Wakuu natumia Ios, ila kuna kitu strange huwa kinatokea nikiwa na naview status za watu. Kinachotokea ni kwamba mtu A akiweka status basi inaweza appear kwa watu wengine pia, nao wanaonekana...
1 Reactions
21 Replies
933 Views
HABARI YA LEO WAKUU, Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Bw. Alberto Msando. Kwanza nikupongeze kwa Uteuzi wako wa kuja kuiongoza Wilaya hii ya Ubungo, tuna matumaini na wewe tena sana...
0 Reactions
8 Replies
699 Views
Siku moja baada ya Mahakama kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi Nchini kuhakikisha linachunguza na kumfungulia kesi ya jinai, Wakili Edson Kilatu aliyedaiwa kughushi nyaraka na kuingilia mfumo wa...
0 Reactions
2 Replies
352 Views
Kauli aliyotoa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe jana Juni 11,2025 Dodoma Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema kuwa Serikali itanunua tani 200,000(Laki mbili) za mbolea ili kuzipeleka katika...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Mungu huwq hashindwi kitu. Hutenda miujiza na anaweza kila jambo. Hawa wabunge wanaojali maslahi ya CCM kuliko maslahi ya wananchi hawafai kurudi bungeni. 90% ya wabunge walipita 2020 kwa...
0 Reactions
8 Replies
484 Views
Siku hizi hata ukitaka kurudisha laini haikubali eti kisa sijachukua kitambulisho cha NIDA wakati namba ninayo hii sio sawa kabisa Binadamu huwa tunahama sehemu moja kwenda sehemu nyingine sasa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Kumbe hata wanyama wanazaa pacha! Hizi ni baadhi ya picha za mapacha ya wanyama
4 Reactions
18 Replies
754 Views
Sijui ule mwanga ulikuwa na ishara ya nini kwa anaejua maana lilikuwa jua kali lilowaka wa muda wa dakika 10 mpk 15. Nina imani wakazi wengi wa Dar es Salaam wameuona ====== TAARIFA KWA UMMA...
21 Reactions
273 Replies
51K Views
Awamu ya tatu na nne vijana wengi walihamasika kuingia upinzani na ilionekana ni kitendo cha kishujaa huku wakiungwa mkono na familia zao. hali imekua tofauti kwa vipindi vya awamu mbili za hivi...
2 Reactions
12 Replies
429 Views
Kama unajua au ulifundishwa na mwalimu (mstaafu) Asia Sufiani na unajua kuwa bado yupo hai na unajua alipo, basi tafadhali nipe contacts zake.,
0 Reactions
9 Replies
513 Views
Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu. Sasa sijajua kwa...
6 Reactions
14 Replies
765 Views
Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka? Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki...
34 Reactions
199 Replies
6K Views
Kwa Jeshi la Polisi Tanzania ungesikia habari za kufabricate tu, ilimuladi kulinda walioua. Pia soma > Kifo Cha Kutatanisha: Albert Ojwang Afariki Saa Chache Baada ya Kukamatwa kwa Bandiko la X...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Jirani wa kwanza yeye ana shamba lake la mahindi sasa mbwa wake amezaa akawa anasubiri nikienda kazini anakuja kumuazima wife kambwa changu kisa kanabweka anakachukua anaenda nacho shamba kwenda...
15 Reactions
66 Replies
3K Views
Erasto Raphaely Kabupa (50) mkazi wa kijiji cha Igelehedza kata ya Ilembula wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe amedaiwa kufariki Dunia wakati akishiriki tendo la ndoa na mke wa mtu katika nyumba...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Back
Top Bottom