murthehelp Senior Member Joined Apr 14, 2013 Posts 181 Reaction score 155 May 1, 2025 #1 Mfanya kazi ni nani ? Au ni mtu yoyote mwenye cheque number ?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 116,289 Reaction score 187,941 May 1, 2025 #2 Subiri wanakujaa kukupa muongozo.
Rule L JF-Expert Member Joined May 31, 2020 Posts 2,180 Reaction score 3,471 May 1, 2025 #3 Tuanze na kazi yenyewe kwanza ndio tutajua mfanyakazi ni nani.
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,769 Reaction score 54,898 May 1, 2025 #4 Historia ya siku ya wafanyakazi duniani ilikuwa ni siku ya kuhamasisha wafanyakazi kudai haki zao Siku hizi imekuwa siku ya wanasiasa kuwadanganya na kuwapanga wafanyakazi
Historia ya siku ya wafanyakazi duniani ilikuwa ni siku ya kuhamasisha wafanyakazi kudai haki zao Siku hizi imekuwa siku ya wanasiasa kuwadanganya na kuwapanga wafanyakazi
mgendege JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 363 Reaction score 472 May 1, 2025 #5 mei mosi naona kwa watumishi wa serikari sana sekta binafasi mbona hawa shobokei mei mos
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,310 Reaction score 11,246 May 1, 2025 #6 Siku ya Mei mosi mi huwa nawahurumia walimu
farfat JF-Expert Member Joined Jun 10, 2021 Posts 376 Reaction score 681 May 1, 2025 #7 Sikukuu ya waliofungwa kifikra..
S sammyminjino Member Joined Jun 3, 2025 Posts 26 Reaction score 14 Jun 11, 2025 #8 Nimepata cheque number tarehe 25 mwezi wa tano 2025, je mwezi huu nitapata mshahara wangu? Wakuu msaada?
Nimepata cheque number tarehe 25 mwezi wa tano 2025, je mwezi huu nitapata mshahara wangu? Wakuu msaada?
murthehelp Senior Member Joined Apr 14, 2013 Posts 181 Reaction score 155 Jun 11, 2025 Thread starter #9 utapata.