Kampuni ya China Overseas Engineering Group imeonesha Nia ya kujenga Daraja la km 80 Kati ya Dar na Zanzibar,Naibu Waziri Kasekenya amesema Bungeni..
My Take
Kama Daraja hili litajengwa linaweza...
Nguvu za giza ni neno linalotumiwa kuelezea nguvu au mamlaka ambazo zinahusishwa na uovu, udanganyifu, hofu, uharibifu wa kiroho, au kinyume na nuru (mwanga wa kiroho). Katika muktadha wa kiroho...
Kuna Video ya kutengeneza nimeiona Facebook, Watu wenye Nia mbaya wamechukua Video clip Yako, na kuunganisha Sauti zako Toka kwenye matukio tofauti.
Video Ile Ina nembo ya Jambo tv, na Kuna page...
Na Mwandishi wa Habari Hub
Zanzibar, Juni 12, 2025
Katika juhudi za kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na demokrasia, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-Zanzibar)...
Nimetazama kwa watoto wangu nimeogopa. Hiyo ganzi mtoto anachomwa kwenye uume. Je haiwezi mletea madhara kwa uume wake kweli? Mpaka muda huu uume bado umevimba kwa hiyo ganzi na mbele ya uume pale...
Ni kwamba huenda wewe yamekukumba hapo ulipo na wala haujui kama yamekukumba huenda unadhani upo salama kumbe haupo salama mpaka siku ukitaka service ambayo Taasisi itatakiwa kuvuta information...
Ghorofa hili lipo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni tatizo lake ni kuwa kuna mabati wameweka juu kama ya uzio kuzuia vitu vya ujenzi kutoanguka chini ambapo Watu...
Nimeshangazwa sana na uwezo wa kiakili wa Wana jf wakieneza slogan ya no reforms......Sasa unajiuliza Je hizo reforms zinafanyika mtandaoni? Jibu ni hapana reforms zote zinafanyika bungeni
Nini...
Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo...
Watanganyika Sasa wanahitaji msaada wa Kisaikolojia
Kwanza nakubali kuwa ushoga ni jambo baya Kwa maadili yetu, na inafaa ukemewe
Siku hizi watu wengi wapo wanahusisha ushoga na jambo lolote...
Kesho ni siku muhimu sana kwa nchi yetu! Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 inasomwa bungeni, na kila mmoja anasubiri kwa hamu kujua nini kimejumuishwa.
Hii inafuatia kauli ya...
Mpo Salama!
1. Waalimu kulipwa mishahara Duni
Unapopeleka mtoto English Medium au shule yoyote Jambo la Kwanza Kabisa lazima uulize mishahara ya waalimu. Wanalipwaje?
Mshahara wa Mwalimu ni...
Kwa mzazi ambaye kichwa kina chaji hawezi ruhusu huu uhuni, hii inawezekana kwa wazazi wapumbavu pekee, ambao kiwango cha kuwaza ni zero.
Mtoto kasoma miaka 7 sasa kamaliza shule, huyu hapumziki...
Habari za muda huu wanajamii forum!
Mimi ni form four leaver 2024 napenda kusomea engineering atah selection nmepangiwa PCM ila sijui Kama mbele itakuwa na maslahi MAKUBWA🤔🤔
Ila nafikuria...
Kupitia taarifa ya habari STAR TV naona habari huko Tabora kuna mwanagunzi wa shule ya waschana Tabora akiwa amejifungulia chooni na mtoto kufariki.
RC amefika hapo na nimemsikia anasema eti...
Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na...
Ulivyo wewe sivyo alivyo mwingine hivyo mtihani wa kwanza wa kupambana nao ni jinsi ya kuishi na watu bila wao kukuharibia siku yako.
Huu ni mtihani kwako kwa sababu wewe ndio unatakiwa ujifunze...
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa yuko sahihi kabisa kwamba Vijana wetu hawana umahiri wa kuitumia mitandao ya kijamii kisayansi na kuifanya kuwa vyanzo vyao vya mapato
Badala yake Vijana wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.