Marekani ni taifa linaloheshimika duniani kwa kuwa na katiba ya kihistoria yenye kuheshimu haki za binadamu, pamoja na mfumo wa kidemokrasia ulio imara. Chaguzi za Marekani huendeshwa kwa uwazi na...
Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika...
Naandika tu kama mtazamo wangu.. Maana pengine hatua zinaweza zisichukuliwe haraka kutokana na aina ya wapelelezi tulio nao
Kuna conclusion zinatolewa haraka sana kwenye haya mauaji na vifo na...
Ukitaka mtu aropoke yote aliyofanya kwa siku hiyo wakati yuko usingizini basi akisha lala, chukua glass yoyote,itie maji ujazo kiasi kwamba kidole cha shahada kikiingizwa kitaenea ndani yamaji...
Wadau wa JamiiForums, Habari Zenu!
Hivi umeshawahi kusikia msemo "Mafanikio yako yanategemea mawazo yako"? Au labda "Acha kulala, fanya kazi kwa bidii, tajiri mkubwa analala saa 3 usiku na...
Tuanze na hii.
Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini.
Maana yake ni kwamba ,kama...
Kwa hapa Dar, wapi naweza kupata nyama ya porini...
Natamani kula nyama ya porini this weekend, kama nitapata nyama ya Swala au Kiboko, itakuwa safi sana.
Ma butcher yapo wapi kwa dar ?
Nikweli Yanga sc tunadai haki zetu , nikweli TFF amekua akiipendelea mbumbumbu FC, ni kweli makolo walitukimbia tarehe 8 march.
Ila Taarifa ya club yetu iliyosema hatutoshiriki kivyovyote vile...
Msifie mwanafunzi shuleni uone atakavyofanya vizuri zaidi. Msifie mke wako au mme wako uone jinsi upendo wake utakavyoongezeka kwako. Isifie timu yako ya mpira, uone kama haitacheza vizuri...
Wakuu ndugu zetu kule upande wa Visiwani naona kwasasa hawaoni Kero za Muungano kabisa, Nimeona wabunge wao majority wanapiga kelele kukemea activists wanaokuja kutoka Nje ila Mambo ya Muungano...
Kuna familia jirani hapa ya watu 9 wamepangisha chumba kimoja,
tatizo moja ni kuwa ndani ya hiyo familia kuna Baba,Mama, mtoto mkubwa wa kiume wa umri wa miaka 17, mwanafunzi mtoto wa kike umri...
Wakuu,
Bajeti kuu ya serikali Mwaka 2025/2026 inawasilishwa leo Bungeni na Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba, ikieleza mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti mwaka 2024/2025 na mapendekezo...
Miaka ya nyuma kidogo miaka ya 2011 hivi, kulikuwa na mchungaji ama niseme nabii anajulikana kwa jina hilo pale Mwanza.
Watu wengi walioenda kanisani kwake walitekwa akili kimazingara na...
Sio Kenya tu hata Tanzania ni jambo rahisi kukanusha mpaka waziri leo wa fedha kusema yale magunia yaliyo wekwa watu yenye chapa ya tanzania kuwa yalitupwa baharini.
Hivi unawezaje kujibu majibu...
Simu hizo zitakuwa na sifa zifuatazo
Zitakuwa zinatumia natural satellite kufacilitate mawasiliano
Kwa mtu aliyeko duniani atakuwa na uwezo wa kuwasiliana na mtu ambaye yupo sayari ya mars au...
Kwa muda mrefu moyoni mwangu nimekuwa na tamanio moja kubwa – kuitumikia jamii kwa njia ya Injili kupitia vyombo vya habari. Leo hii naandika nikiwa na furaha kuu moyoni, nikimshukuru Mungu kwa...
Katika hali ya isiyo ya kawaida watu Mamia ya watu wameonekana wakizoa Sukari iliyomwagika barabarani baada ya kutokea ajali Katika eneo la Lugono_ Melela barabara ya Morogoro-Iringa Leo Juni 12...
Alikuwa anazama.
Na hakuna aliyegundua...
Hakuna, isipokuwa yeye mwenyewe.
Ilikuwa Juni 2022, kwenye Mashindano ya Dunia huko Budapest.
Anita Álvarez, mwogeleaji wa sanaa kutoka Marekani mwenye...
Leo nataka kuwakumbusha mambo muhimu (sana) ambayo mtu (kuanzia miaka 27) anakiwa kuwa nayo katika maisha yake kwa rehma za Allah na kuwa na thamani kubwa sana miongoni mwao kuliko aliyejaaliwa...
Katika vitu ambavyo Kila nikifikiria nakosa majibu ni gharama ya kuchimba kisima na Ile mitambo yao kiujumla, Sote tunajua kuwa katika mitambo inayouzwa bei ghali ni mitambo ya kutengeneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.