Mhu 4:9 SUV
[9] Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja; Maana wapata ijara njema kwa kazi yao.
Uwe umekutana na changamoto katika kushirikiana na watu, uwe umewahi kuumizwa na mtu uliyeshirikiana naye...
Nimejaribu kufuatilia katika maeneo na vyanzo mbalimbali kuhusu mwitikio wa wananchi juu ya bajeti ya serikali ya mwaka 2025/2026, nimebaki nikijiuliza, bajeti haina mvuto? Au wananchi wamekata...
Binafsi nikiri ni mchangiaji mzuri wa arusi ingawa ni utamaduni wa hovyo sana kukubalika katika jamii wa watu maskini na wanaojitafuta.
Kusema kweli wengi tunaoshirikishwa tunajikuta tunalazimika...
Wakuu,
Kumbe kwenye masuala ya kudihibiti ulozi nchini mwao, Serikali ya Dubai ndo iko serious hivi?
Huyu jamaa kakamatwa Airport na askari wa Dubai akiwa anaingiza mambo yanayohusishwa na...
Zamani Polisi waliajiriwa wenye elimu ndogo kwa sababu ya uhaba wa wasomi.
Nashauri Serikali itenge bajeti ya kuwaendeleza maaskari waliopo kazini angalau wawe na Diploma mbalimbali zinazohusiana...
Katika habari iliyotolewa juu ya ndege za Tanzania kupigwa marufuku kwenda Ulaya, imewekwa picha ya ndege ya Tanzania na pembeni yake Raisi Samia akinywa juice bila akiwa na tabasamu la mbali...
Siku moja kuna watu watalipa kwa damu na machozi.
Mnaofurahia ufisadi kwenye rasilimali zetu — mtalipa, nawaambieni.
Mnayefumba macho wakati waovu wanatenda kwa mikataba michafu, mnayeziba...
Kupata sio ujanja na Wala kukosa usio Ujinga, ila Yote kwa Yote Anapaswa Kushukuriwa mtoa ridhiki.
Kwa wale ambao awaamini ktk uwepo wa mtoa ridhiki(MUNGU).
Sio Kila mtu anaamini ktk Mungu, ila...
Serikali imesema katika kuwawezesha wananchi kiuchumi imefanya jitihada mbalimbali kwa kuweka mazingira ya wananchi kujitengenezea kipato kwa njia ya kuajiriwa, kujiajiri au biashara.
Hayo...
Meneja Uendelezaji Biashara Changa wa CRDB Bank Foundation, Sharron Nsule akitoa elimu ya ujasiriamali kwa wanafunzi walioshiriki semina katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Dar es Salaam...
Eti wakuu, Jenga picha upo kijiweni saa 12 jioni baada ya kutoka kazini, mnapiga story mbili tatu, mara ghafla linatokea tukio la uhalifu, mtu mmoja anapigwa risasi barabarani/mtaani.
Ila baada...
Tatizo la Betri ya Lithium-Ion
Boeing 787 Dreamliner ilikuwa ndege ya kwanza ya kibiashara kutumia betri za lithium-ion kama chanzo kikuu cha nguvu kwa mifumo ya umeme badala ya mifumo ya jadi ya...
MAKALA: TEL DAN – USHAHIDI WA KIHISTORIA WA “NYUMBA YA DAUDI”
Tel Dan ni moja kati ya maeneo muhimu zaidi ya akiolojia yaliyoko kaskazini mwa Israeli, na lina historia ndefu inayothibitisha...
.
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga amewapongeza Mawakili wa Kujitegemea kwa ushirikiano wao, hatua iliyosaidia kuongeza kasi ya kumaliza...
LAANA YA MIZIMU NA HATARI KATIKA MAISHA YETU HAKIKA NYOTA ZETU ZIPO KUZIMU
Ifahamike kuwa kila kabila lina utawala wake wa mizimu ambapo utawala huo huwa unateua kuhani wa kuongoza shughuli zao...
Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.