Kuna mchambuzi mmoja wa kimataifa UTV/Azam huwa wanapenda sana kumuweka achambue siasa za kimataifa, huwa anavaa sana kisela, jeans za ajabu ajabu na tisheti, ukimuangalia hakai kama mchambuzi wa...
Naanza kuwa na mashaka na mwenendo wa serikali ya ccm iliyopo madarakani.
Inawezekana vipi barua ya kufungia kanisa wizara waka kanusha huku polisi wakizuia kanisa.
Ina maana hii barua ni mtu au...
Naomba tujadili hii hoja.
All I know people join in military because had no better option in life .
Ebu fikiria unatumwa vitani ili umpambanie mwanasiasa ambaye kaamua kuanzisha VITA kwa...
"Kijana wa kiume, ni muhimu kutambua kwamba dunia haipo upande wako siku zote. Hii ni kwa sababu tangu enzi za mababu, wanaume tumehesabiwa kuwa na uwezo wa kutatua changamoto, hata ziwe kubwa...
Maadili ni neno pana ila linaloeleweka kiasi kwamba ukizungumza kuhusu maadili kikawaida mtu atafikiria moja kwa moja matendo mema
Katika jamii ya sasa ya kitanzania sijui kama kuna watu wema...
Anaandika, Robert Heriel.
Mtibeli.
Tatizo la ushoga halitokani na masuala ya kibayolojia yaani kama wanaotaka kuhalalisha ushoga wasemavyo kuwa ushoga ni ishu ya hormones imbalance. Ni uongo wa...
Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa.
Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600,
kakomaa sana na muziki, wazazi...
Nikitumia mfano wa DALLE, kiujumla lifestlye yake tunaongelea mabilioni ya pesa, ila sasa ni kwel ni izi jero jero za wananchi mpaka billion ama kuna mengine...
Habari wana jamvi. Baada ya jana kuhoji juu ya wengine mlipataje huduma ya fiber ya ttcl walinifata inbox na kuomba niwatumie email. Nmewasiliana nao jana na leo wamenipigia mara kadhaa nikiwa...
Kwa wenzetu ubunifu ni kitu kinachopewa umuhimu mkubwa na wa kipeKee na ndio maana wameweza kufanya mengi na kufika mbali
Kwa picha hizi hapa tunaweza kujifunza kitu kwenye sanaa na dhana nzima ya...
Nadhani si mara moja au mbili umepata kuona onyo la picha au picha mjengeo kwamba zinatisha..
Tulisoma na kijana mmoja aliyenusurika mauaji ya kimbari Rwanda mwaka 1994.. Alikuwa amepata trauma...
Vishwash Kumar Ramesh alinusurika kwenye ajali ya 2025 Air India kutoka kiti cha 11A, kiti sawa na mwigizaji wa Thailand James Loychusak aliyenusurika katika ajali ya ndege ya mwaka 1998.
Kama...
Madhara ya kuchelewa kutoka kwa wazazi wetu yana mfanya kijana wa kiume kuona maisha ni magumu na hatimae kushindwa maisha na kutafuta soft kazi kama betting utapeli udalali wa viwanja kuendesha...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa kwa wadau wote wa mazingira kuendeleza mambo yoteyaliyofanyika katika maadhimisho ya mazingira ikiwa ni...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Dunianiyaliyofanyika Kitaifa katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya...
Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia...
Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.