Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Moja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana...
4 Reactions
88 Replies
2K Views
Niaje waungwana Kwanza kabla ya kuelezea sababu za jeshi letu kutokutoa kichapo kwa M23, naomba kwanza nianze kuwapa historia tukufu ya jeshi letu la JWTZ au TPDF kwa nchi mbali mbali za Africa...
41 Reactions
175 Replies
10K Views
Maombi ni moja ya njia ya kuondoa wasiwasi na kuongeza imani katikati ya changamoto na sintofahamu za maisha. Lakini kama hujui kuomba vizuri unaweza kujikuta yanakuongezea stress, wasiwasi, hata...
42 Reactions
68 Replies
4K Views
Habari za Sabato! Mbaya Sana! Basi tena! Akili yangu inanituma kwamba nimeshafika mwisho! Sijui kama hata nitapata nafasi ya kusema neno la mwisho! Maskini mimi! Mwisho gani huu! Taikon wenu...
11 Reactions
70 Replies
4K Views
Kuna vitu vingine wala havihitaji Akili kubwa au Mtu kusumbuka au kuhangaika navyo kuvielewa. Uhuru wake Novemba.
2 Reactions
3 Replies
421 Views
Hongera sana binti wa Likud kwa kuchaguliwa first selection form five. Shule ni ya day, ipo Ilala, Dsm. Ada elfu 20 kwa mwaka... Duh wacha nikimbie zangu One Point ya Chax nikajipongeze na kawine...
17 Reactions
71 Replies
2K Views
Kama hukuwahi kufahamu sababu ya kambi ya jeshi ya LUGALO, iliyopo jijini Dar es Salaam, kuitwa hivyo – basi leo nakufahamisha. Watu wengi huamini kuwa kambi hiyo ilipewa jina hilo tangu mwanzo...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Nawasalimu nyote. Ndugu zangu nimetapeliwa katika mazingira ya kutatanisha ambayo mpaka sasa wahusika wanapatikana nimepeleka taarifa kituo cha polisi kimsingi mpaka leo sijapata msaada...
0 Reactions
10 Replies
527 Views
Kesi ya uchochezi nambari 11805/2024 kati ya Jamhuri dhidi ya Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, na mtetezi wa haki za binadamu, Godlisten Malisa, imeendelea leo tarehe 17 Machi 2025 katika...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu, habari za jumapili. Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana. Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja...
26 Reactions
56 Replies
3K Views
Tunaomba wakurugenzi waliopokea vibali vya uhamisho kwa wenza tangu mwishoni mwa December 2024 na mwanzoni mwa January 2025 wawaachie na wao wapate fursa ya kuungana na familia zao...
1 Reactions
8 Replies
837 Views
“Ukatili umegawanyika katika maeneo mengi, nieleze machache tu, la kwanza ni ukatili wa kimwili. Ukatili wa kimwili ni kitendo cha kudhamiria kufanya vurugu na kutumia nguvu ili kumsababishia mtu...
1 Reactions
0 Replies
295 Views
Mdogo wangu wakike ameolewa kama miaka 10 iliyopita, anasumbuliwa sana na maumivu makali ya kichwa kisichosikia dawa, nimempeleka kamanga hadi bugando kafanyiwa MRI Lakini haijabaini shida yoyote...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Utangulizi Ni jumuiya ya wanafunzi wa Yesu waliofanyik limbuko katika kazi ya Kristo Ulimwenguni ambao waliokubali kuacha vyo wakajitoa dhabihu kukaa hekaluni huku mwjuku na familia zao zkitwketea...
11 Reactions
20 Replies
3K Views
Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha...
18 Reactions
113 Replies
3K Views
Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 16/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
2 Reactions
4 Replies
509 Views
Ufunuo wa Rohoni (Tazama kwa Macho ya Kiroho): Nilipouliza rohoni, ikaja picha ifuatayo: "Ninaona mti mkubwa wa kijani wenye mizizi nene katikati ya nchi, juu yake kuna mama aliyeshika taa...
1 Reactions
7 Replies
967 Views
JUNI 2025 Matukio yanayotarajiwa: Kutakuwa na majadiliano ya kina kuhusu katiba au mageuzi ya sheria fulani, hasa upande wa haki za kiraia na uhuru wa vyombo vya habari. Kutaibuka mjadala mkubwa...
0 Reactions
6 Replies
783 Views
Back
Top Bottom