Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wajuvi wa mambo naomba msaada wa kisheria .
0 Reactions
25 Replies
838 Views
Kuna vitu vinashangaza sana kwenye hii nchi iliyoasisiwa na Hayati Nyerere, tunasema Kuna amani na upendo miongoni mwenu Lakin kiuhalisia Kuna watu ni wenye manung'uniko na maumivu makubwa moyoni...
1 Reactions
10 Replies
523 Views
Wanakati huku zinakuja News kwamba fortune (Utajiri wa Trump) umeongezeka mara mbili ndani ya mwaka na kwamba alikuwa rafiki wa karibu na molester wa vibinti vidogo Jeffrey Edward Epstein ; Trump...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...! Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa...
2 Reactions
14 Replies
597 Views
Mimi ni Mkazi wa Pemba ambaye mara nyingi nafanya shughuli zangu za Kibiashara Unguja na Dar es Salaam, kuna jambo moja ambalo limekuwa kero kwa muda mrefu na ninaona kuna haja ya Mamlaka kujua...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, mimi sio mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote, vipindi vilivyopita niliweka utaratibu wa kuangalia yule ninayemwona anaweza kuwa kiongozi wangu nampigia kura. Kuhusu suala la kufungiwa...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Katika kuonyesha kuitikia wito wana Bukoba wa Dar es Salaam na ughaibuni wameahidi kuchangia jumla ya trilion 3 kila baada ya miezi 3 ili kuboresha litakalokuwa jiji la NEW BUKOBA. Bukoba ndo home.
26 Reactions
687 Replies
80K Views
Wakuu nimekumbuka hili sekeseke “Kuhusu Gwajima sisi hapa hatujamshitaki kama Askofu, tumemshtaki kama Mbunge Gwajima, habari za Uaskofu wake ni hukohuko, unaweza ukawa Askofu halafu kama wenzako...
1 Reactions
1 Replies
307 Views
Fikiria aina ya upendo wa kipekee—upendo wa kina sana kiasi kwamba hata kifo hakiwezi kuwatenganisha nafsi mbili zilizoishi maisha yao yote pamoja. Jefferson na Mary Souder, waliokuwa wameoana kwa...
1 Reactions
0 Replies
202 Views
Kuna aina ya attention haiji kwa makelele, haitegemei pesa wala drama, Inakuja tu bila mimi kuiomba. Nipo tu, lakini watu huwa wananitazama kama najitokeza kwa makusudi. Nikiingia sehemu najua...
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Ukishakuwa katika hali fulani ya ufahamu awernes, ni ngumu sana kujidanganya au kujifanya kama haufahamu. Ukishafahamu au kuwa na uelewa kuhusu kitu fulani, kamwe hauwezi kufutika — yaani kuwa...
0 Reactions
5 Replies
263 Views
Nilichotaka kuandika kimeelezwa kwa urefu kwenye video hapo chini. Karibuni tujadili. Kuna app ya kutafsiri video kwa lugha nyingine nikiipata nitaiweka humu kuwasaidia wale ambao Kiingereza si...
1 Reactions
24 Replies
834 Views
Nikiwa Rais wa Tanzania ndege zitatengenezwa hapa nchini Zifuatazo ni sifa za ndege zitakazotengenezewa Tanzania;- Zitakuwa zinatumia motor kama engine Motor hizi ni za kipekee sana zinltakuwa...
4 Reactions
31 Replies
728 Views
Leo viongozi wa Simba na Yanga wametembelea Ikulu ya Chamwino kuongea na mama Samia. Mavazi waliyovyaa ni ya kawaida tu na wengine wamevaa makoti, jinsi na shati bila kuchomekea +raba. Nimejikuta...
6 Reactions
298 Replies
10K Views
Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Nilijua kwa kusema nina nia ya kugombea Urais wa Tanzania lazima watu watasema huyu ni kichaa, mwendawazimu, hawa vijana wa sahivi stress za maisha zinawasumbua, anatakiwa aende mirembe, afya la...
2 Reactions
13 Replies
676 Views
Wakuu, nilikuwa sehemu nikakuta wazazi wanalalamika kuwa wamepeleka watoto shule ya English medium Mlowo iliyopo Mbozi mkoa wa Songwe ambayo inapokea wanafunzi wa day na boarding. Sasa muda wa...
0 Reactions
10 Replies
721 Views
Jamani dunia ya sasa mambo yanaenda kwa kasi ya ajabu kwa kila sekta, pia na maarifa ya naongezea kwa kasi na ni rahisi kupatikana, na watu wanazidi sana kuwa na akili kupita kawaida. Je nawe...
1 Reactions
4 Replies
293 Views
Takribani watanzania milioni 40 ambao ni 64.8% ya watanzania wote huamka kila siku wakiwa hawana uhakika wa -chakula bora, -maji safi, -huduma za afya, -elimu inayoeleweka kwa watoto wao n.k...
4 Reactions
19 Replies
690 Views
Back
Top Bottom