Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kabla ya Yote Thread Hii inahusu Prompt zote, Maandishi Ramani,vitabu,tafsiri , barua,uandishi, Utengenezaji wa Kila Kitu haijajikita Kwenye picha Peke yake.., Kwahiyo nawaomba Mod Wasiunganishe...
1 Reactions
0 Replies
385 Views
15 June.. Remember this date.. Hatujakumbukwa.. Basi nasi tusijisahau..Raha jipakulie mwenyewe hutajipunja Una lolote la kumwambia baba yako? Liweke hapa kama kumbukumbu ya siku yake duniani...
8 Reactions
84 Replies
3K Views
Mambo yanazidi kuwa matamu.
14 Reactions
8 Replies
829 Views
Niliacha kufuatilia au kusikiliza hotuba za rais Samia au wateule wake baada ya kuona hajui anachoongea. Ukifuatilia vita hii utaamini maneno ya Donald Trump kwamba nchi zetu ni Shit-holes...
0 Reactions
2 Replies
385 Views
Wakuu! Leo tena nimeona isipite hivi hivi bila kutia neno lolote la maana na mimi kwenye tafakuri zangu. Hili nitakalolieleza ni moja kati ya yale mengi ambayo nimekaa nikayawaza sana kuhusu...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Haiwezekani sasa nimemeshatumia pesa nyingi kuahkikisha hili dishi linatulia zamani nilijua ni kwasababu ya hali ya hesa ila kila jioni sioni chochote sina hata raha sasa nimeita mafundi wengi tu...
2 Reactions
2 Replies
334 Views
Kulia ni balozi wenu mpya wa uingereza Mh.Mbelwa Kairuki akikabidhi hati za utambulisho kwa Mfalme.
17 Reactions
181 Replies
11K Views
Surat Yunus (10:94) "Basi ikiwa uko katika shaka juu ya yale tuliyokuteremshia, waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako..." (Qur’an 10:94) Allah anasema kwa Mtume Muhammad, ikiwa unayo shaka...
2 Reactions
9 Replies
717 Views
Wakuu, Kumbe zile kazi za ughaibuni ndo zinakuwaga hivi? katika pitapita zangu huko nimekutana na hii video binti wa kiafrika akiwa mfanyakazi wa ndani anavyokaripiwa na watoto wa boss, watoto...
3 Reactions
5 Replies
609 Views
Nikiwa Rais wa Tanzania moja ya mambo tutakayofanya kama nchi ni kuzalisha battery zitakazotumia dakika 5 kujaa na hii itakuwa sio tu battery za simu, bali itajumuisha battery za ndege, helicopter...
7 Reactions
74 Replies
2K Views
Mwanaume akiishaota ndevu na masharubu, anaanza kuwa na kiburi. Anamdharau mwanamke. Anasahau mama yake ni mwanamke. Anasahau mwanamke ndiye aliyemtunza tumboni miezi 9. Akamzaa. Akamfuta kinyesi...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Wakuu ni wiki mbili sasa nimelipia CONTROL NUMBERS za vyeti viwili lakini STATUS zinasoma PENDING na risiti ndo hizo hapo, kila nikipiga simu HELPDESK za RITA na GePG..wananipiga chenga kwa...
1 Reactions
0 Replies
298 Views
Michepuko imeheshemishwa sana siku hizi, nafasi yake ni kahaba alie changamka ila vijana wana wapa privilege. Vijana wanaiga ngozi nyeupe kupigia magoti wala ugali wenzao. Vijana wanababaika na...
2 Reactions
5 Replies
342 Views
Wakuu ni sawa mahakama kutumia lugha ya kigeni katika kusikiliza kesi yaani kutumia sheria ambayo ime chapishwa kwa lugha ya kigeni? Au ni utumwa
1 Reactions
6 Replies
250 Views
UKIFANIKIWA KUMFANYA MTU AFIKIRI UNACHOTAKA BASI UMEFAULI KUMTAWALA. Na. Comred Mbwana Allyamtu-CMCA Sunday -8/6/2025 Marangu Kilimanjaro Tanzania. Upo msemo wa kijasusi usemao "mfumo mbaya...
2 Reactions
11 Replies
795 Views
Katika shughuli yangu ya ufundi umeme napenda kushiriki nanyi mambo machache kuhusu vifaa vya kieletroniki Hurusiwi kabisa kuchoma moto vifaa kama simu, tv, ving'amuzi, luku mbovu (meter & Sub...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Huu mradi mkubwa wa mall ya kutisha afrika mashariki umeishia wapi jamani?
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Moja ya changamoto kubwa sana ya structure ya uchumi wetu ni kuwepo kwa idadi ndogo ya watu wenye account bank na ambazo zipo active Kwa sababu hata hizo account zilizopo bado ni chache sana...
4 Reactions
88 Replies
2K Views
Niaje waungwana Kwanza kabla ya kuelezea sababu za jeshi letu kutokutoa kichapo kwa M23, naomba kwanza nianze kuwapa historia tukufu ya jeshi letu la JWTZ au TPDF kwa nchi mbali mbali za Africa...
41 Reactions
175 Replies
10K Views
Back
Top Bottom