Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dozi 24 za Kuzuia Watoto Wetu wa Kiume kuwa Mashoga! Denis Mpagaze _________________________ Ushoga unakuja kwa kasi sana! Wahanga ni watoto wetu wa kiume. Unajua kwa nini? Ni kwa sababu...
25 Reactions
39 Replies
5K Views
Isingekuwa Rahisi Kufika Hapa, Huu Hapa Ukweli Mchungu 25 NILIOJIFUNZA kwa Gharama Kubwa: UZI. #SIKU100ZAUHURU 1. Duniani hakuna cha bure. 2. Hakuna anayekuja kukusaidia. 3. Unalipwa...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni jambo la kusikitisha sana na la kugusa moyo namna wanaume wengi wanavyobeba maisha kama mzigo mzito usioonekana — mzigo wa kutegemewa, mzigo wa ukimya, na mzigo wa kutokueleweka. Mwanaume...
2 Reactions
2 Replies
308 Views
Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam limesema Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu mwezi wa pili amekutwa nyumbani kwa mwanamke mmoja Tabata. Mwanamke huyo Ashura Ally...
21 Reactions
462 Replies
57K Views
GT Tumezoea police kutoa tahadhari kuhusiana na mikusanyiko yoyote isiyokuwa halali huku wakitoa sababu. Nashangaa hapo kwa Gwajima.kuna shida gani wanapiga watu hovyo sababu zipi? Wanatakiwa...
1 Reactions
11 Replies
826 Views
Yafahamu malezi ya mtoto mchanga kibiblia. Ukitaka mtoto wako mchanga awe na afya na ukuaji bora, na baadaye aishi Maisha aliyokusudiwa na Mungu ya mafanikio rohoni..Basi ni vema ukatafuta...
1 Reactions
0 Replies
606 Views
Hayo yamesemwa na muumini wa kanisa la ufufuko na uzima. Je unadhani yupo sahihi ama hayuko sahihi?? Imamu akikosea utafunga msikiti ama utamwadhibu Imamu? Dominika njema
1 Reactions
5 Replies
341 Views
Baada ya miezi miwili na ushee ya kupost mada za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa jukwaa la makazi na ujenzi na kidogo ujasiriamali.. Hatimaye picha zimeanza kupungua sasa Dhima ya hizi...
8 Reactions
45 Replies
1K Views
Wizara ya elimu ni kwamba hamjui faida za likizo? Waziri wa elimu mbona hatukuoni umekaa wapi ebu simama tukuone! Viongozi inamaana hamuoni watoto wanavyofanywa huko mashuleni? Ratiba ya masomo...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
"Duniani ni mahali pa furaha na kutimiza makusudi yako. Ukiishi nje ya hayo, utahangaika, utawewesuka hadi siku unaondoka bila mwelekeo kama ulivyokuja."— Alloyce, P.R.
1 Reactions
3 Replies
318 Views
  • Closed
Poleni ndugu na jamaa
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama kisemavyo kichwa cha habari ntaruhusu uraia pacha sababu unafaida nyingi mfano Uta-facilitate technology transfer Utaongeza wigo wa skilled labour kwenye critical sector Utaongengeza na...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Nakumbushia Watanzania tusimsahau Lissu gerezani Tusisahau no reforms no ELECTION wakati huu wa trend za kivita. Tusisahau kuwa tunataka mabadiliko nchini, tusisahau damu zilizo mwagika na watu...
0 Reactions
4 Replies
266 Views
Tupeane mawazo kidogo maana tumekuwa stunned na what happened! Mimi Nilitegemea hawa (but not limited to) kwa kusoma hukumu zao and their power of reasoning being very high! 1. Mugasha, Mkuye...
1 Reactions
3 Replies
314 Views
Juzijuzi Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipohojiwa alisema hivi karibuni watamwaga pesa nyingi mtaani. Sasa badala ya pesa kumwaga sasa hata za kulipa watu zinakosekana. Taarifa zilizopo ni...
8 Reactions
79 Replies
7K Views
Jeshi la Polisi Dar es Salaam limechukua hatua ya kuwataka waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kutawanyika mara moja na kwa amani, baada ya kanisa hilo kuendesha ibada njee ya eneo la kanisa...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Ni wakati sasa askofu Gwajima na kanisa lake wafanye maombi ya nguvu kuwazuia polisi wanaozuia waumini wa kanisa hili kufanya ibada yao ya Jumapili. Kwani kosa lilifanywa na waumini au na askofu...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Mzozo Mkali umeibuka baina ya Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) na jeshi la polisi. Mzozo huo ni baada ya jeshi la polisi kuwataka waondoke eneo walilokuwa...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwangu haya mawili ni majanga makubwa kuliko majanga yeyote yaliyowahi kuwapata watoto (wanafunzi. Naiomba serikali na wizara husika kuchukua hatua ya haraka ikiwemo ya kupima UKIMWI NA MIMBA...
2 Reactions
17 Replies
761 Views
Back
Top Bottom