Busara ya kawaida kabisa inakuelekeza upumzike sasa...uachie kijiti mtu mwingine nae aendeleze pale ulipotufikisha..huko ndiko kustaarabika.
Kwann usubiri kuondolewa kwa kuaibika kama wazee...
Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limeishauri Serikali kutoa mwongozo wa namna bora ya matangazo ya biashara za nguo za ndani za wanawake kwa kutumia...
-Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa)
-Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende...
Hii ni post maalum hasa kwa watumishi wenzangu tunaofanya biashara za kuwaachia vijana bila kufuatilia details kwa undani.
Zamani nilikuwa nawaona hawa wenye maduka kuwa wanaoko sana wa kutaka...
Habari Wana jf , Kuna Baba mmoja mtu mzima amekuwa akiwarubuni mabinti wadogo wa shule kufanya nao ngono na Kwa wale anaowapa mimba hupeleka kwenda kuwatoa ili kuepukana na kifungo
Mbaya zaidi...
Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali.
Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha...
Waliolala ni haki yao.. Na wakeshao pia ni haki yao
Maonyo manne
1Mwanangu, kama umejitolea kumdhamini jirani yako,
ikiwa umetoa ahadi yako kwa ajili ya mtu huyo,
2umejibana kwa maneno yako...
VFD ni mfumo au App ambayo inakuwezesha kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi system hii inakuwezesha kutoa risiti ya softcopy na Hardcopy, kwa Hardcopy unatumia mashine ndogo...
Kampuni za madini za Geita Gold Mine (GGM), Shanta na Buckreef Gold zimeingia mkataba na Benki Kuu (BoT) ya utekelezaji wa sheria ya madini inayozitaka kampuni binafsi za uchimbaji madini kuiuzia...
Guys, yule kaka yangu niliyewaambia alipatwa na ukichaa kwa mara ya pili baada ya kukabidhiwa pikipiki mpya, sasa tulihangaika na tiba kwa mtaalamu.
Kwasasa ana nafuu kubwa kabisa japokuwa bado...
Nilikuwa nasoma mada hii ambayo mwanachama wa JF alihitaji kujua mbinu mbalimbali ambazo anaweza kuzitumia ili kuongeza uwezo wa akili kwa watoto wake. Kuna masuala yameniacha na shaka hivyo...
Israeli inaonekana kupoteza akili yake ya pamoja. Wanaitishia Iran waziwazi kama "jibu" lao kwa Iran kurusha makombora kwao. Shida ni kwamba, kurushwa kwa makombora ya Iran ILIKUWA ni "jibu" kwa...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama mkoani humo kumsaka na kumtia nguvuni, Andrea Ngomeni, mkazi wa Kijiji cha...
KUMBE WAISLAM MNA ALLAH WATATU "
WAISLAM NYIE MNA MA-ALLAH WANGAPI?
Hebu rejea kwenye Kuran kwanza:
Suratul Anbiyaa 91. Na mwanamke aliye linda uke wake, na TUKAmpulizia katika roho YETU, na...
Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye?
Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa...
Mimi ni mdau wa kilimo na Ufugaji na ninapenda kutoka moyoni kabisa.
Katika Hali inayonipa maswali mengi ni hili swala ufugaji wa Ndege kama Tausi Mbuni na Kasuku.
Huwa napenda kujifunza bila...
Kuna hii midori, sijui wanaitaje mwanasesere, sijui watu wengine wanaitaje, inatumiwa na wafanyabiashara wa nguo kuvalisha nguo za kuuza
Maumbile ya kile kitu yanarandana na mwanamke na mbaya...
Parachutes ni moja wapo ya kifaa muhimu katika kujiokoa pale inapotokea majanga kwenye mazingira ambayo msaada unachelewa kufika kwa haraka, inatumiwa sana na wanajeshi kstika kazi mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.