Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 20/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
NYOTA YAKO LEO ALHAMIS JUNI 19/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu mkurugenzi napenda kukutaarifu kama mtanzania mzalendo na mwenye wivu mkubwa na ubora wa elimu yetu niliandika kupitia mtandao huu wa Jamii Forums juu ya matendo yasiyofaa yanayofanyika ktk...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Nakumbuka nikiwa nasoma Sheria katika Chuo X kuna Mwalimu wangu mmoja aliwahi kutuambia Darasani katika somo la Constitutional Law akatudokeza kwamba ukiwa Mwanasheria usipende kukubari kila kitu...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
“Tunahamasisha ulinzi shirikishi wa miundombinu kwa kushirikiana na wananchi katika kutoa taarifa kuhusu vitendo vya kihalifu kama vile wizi wa umeme, uharibifu au wizi wa vifaa vya umeme. Hili ni...
0 Reactions
1 Replies
272 Views
Yesu hakuwahi kula nyama ya nguruwe Hapa ni rejea zilizotajwa na ufafanuzi: 1. Kumbukumbu la Torati 14:8 "Nguruwe... ni najisi kwenu msiile nyama yake, wala msiguse mizoga yao." 2. Mambo ya...
2 Reactions
10 Replies
674 Views
Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na...
9 Reactions
137 Replies
5K Views
Picha inaongea mimi sitosema mengi na hii sio AI ni Human Intelligence (HI)
1 Reactions
5 Replies
425 Views
Sababu za mtu kubeba au kusema maneno makali, machafu, au ya laana zinaweza kuwa nyingi na zinahusisha nyanja za kiroho, kihisia, kisaikolojia, na kijamii. Hapa chini ni maelezo ya kina kuhusu...
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Ktk harakati za kimaisha huwa inatokea mtu akaamua kufake Kitu flani mf mavazi, sauti ama maandiahi ili tu atimize haja zake flani flani, wapo wanaofake identity, wapo wanaofake Elimu, wengine...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
KIBONGOBONGO HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA KWAKO KIJANA UKIWA NAYO. Anaandika, Robert Heriel Siandiki kukusifia, au kukufanya uridhike. Najaribu kukueleza kuwa lazima ukubali kuwa umepambana na...
25 Reactions
45 Replies
7K Views
Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Kinyerezi mitaa ya Kanga, mashineni,mageti, mtanzania yabainika kuna wananchi wanatumia mota mashine kuvuta maji. Mameneja wa Kanda ya kinyerezi wamekuwa katika wakati mgumu muda wote wa utendaji...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wasafiri wa ndege ndani na nje ya nchi kutositisha safari zao kutokana na hofu ya tangazo la Umoja wa Ulaya (EU) kuhusu kuzuia baadhi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Boti maalumu ya uokoaji katika Ziwa Victoria (Ambulance Mwanza) inayosafirishwa kwa njia ya barabara imegeuka kama jukwaa la kampeni maana imeandikwa mitano tena, kazi iendelee. Sasa je mali ya...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari za mida Wakuu, Baada ya majukumu na pilika za maisha leo, usiku huu nimepata muda wa kupitia habari na kuna habari imenishtua sana, naomba kuwakilisha kwenu. Wakati DPP wa Kenya...
25 Reactions
405 Replies
81K Views
DUNSTAN KITANDULA: UTALII NA MADINI ZINACHANGIA KWA PAMOJA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA SERIKALI imesema sekta ya madini na utalii ni nguzo muhimu zinazotegemeana katika kukuza uchumi wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
222 Views
KIFARU KIFARU ni mnyama aliye mkubwa sana na mnene kabisa. Ingawa watu husema kwamba makao yake ni Afrika, wako wengine wa jamii yake Bara Hindi na Java na Sumatra; tena ziko alama za vifaru wa...
1 Reactions
6 Replies
637 Views
Ninapoelezea jambo hili linalohusu 'nchi hii', sio 'taifa lile la Mungu wa Biblia'; nitagusia katika vipengele mbalimbali ili kuona haswa huu mzizi ulianzia wapi KIHISTORIA: Wayahudi wengi...
0 Reactions
14 Replies
915 Views
Kwanini nature iliunda gravitational force ili binadamu pamoja na vitu vingine visiende juu (outer space 100 kilometers from the sea level)?? Ukijaribu kuruka juu, nature/gravity inakurudisha...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…