Fadhili Salmon Nafutari, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Itwangi, Wilaya ya Shinyanga akiwa na msukumo wa kulijenga jimbo hilo kupitia rasilimali zake za asili...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Jumamosi Juni 21, 2025 ametembelea uwanja wa ndege wa Sumbawanga kukagua maendeleo ya ujenzi wake ambao unaendelea...
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Balozi Mhandisi Aisha Amour na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde kwa nyakati tofauti wamefika katika Yadi ya Songoro Ilemela Mkoani Mwanza kukagua...
Sheikh Mazinge sahivi huna tena nguvu ya kumpinga Mwamposa, maana nawe unauza mafuta ya upako
Kwani Ustadhi Mazinge wewe ni mtani wa Wanyakyusa?
Maana unawaandama Wanyakyusa pamoja na Mwamposa...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya ujenzi nchini ni matokeo ya maono, juhudi, ubunifu na rasilimali za Watanzania wenyewe.
Kauli hiyo...
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika mkoa wa Songwe, hatua inayolenga kuboresha miundombinu...
Hapa ninapoishi Kuna Mzee mmoja asubuhi hii anamfokea mtoto wake wa miaka 36 kuwa aondoke akapange
Kulingana na kikao tulichokaa. ....hapa jf umri wa kuondoka nyumbani ni at least miaka...
Wasalaam
Namtafuta rafiki yangu anaitwa Stephen Sheiza...mara ya mwisho kuwa pamoja ni baada ya kumaliza A level MOA Temboni
Anaefahamu wapo alipo anijuze...kwao ni Kibaha ila sifahamu ni Kibaha...
Mlisema mmekuja kivingine kwa Ile promo nikajua mmejipanga mna site ambayo wadau tutaona live draw inavochezeshwa cha ajabu draw zinaendelea kwa USSD bila mteja kushuhudia matokeo
Wachimbaji wadogo wa madini ya shaba wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Mradi wa Shirika la Umoja wa Mataifa...
Naomben msaada wenu nimepata tatizo kidogo kwenye familia kuna mtu katunga kitu na icho kitu alitumiwa msg ijumaa jinsi ya kuandaa hii kesi
Je nauliza kuna uwezekano nikapata mtu wa voda hata kwa...
Watu wa namna hii wanaudhi sana kama sio kusikitisha. Unakutana na mtu ana namba ya kila mtandao. Day one kakupa let say namba yake ya Voda, wakati anarudisha message unashangaa namba nyingine...
26 Out of 27 Startups Fail. Learn Nike's Secrets and Beat the Odds
"Ignore the doubters," Phil Knight writes in his revealing memoir, "Just Do It..." It's a philosophy he lived, proving that a...
- Hili ndo' sakata la 'wanted man' wa Uingereza na kupotea kwa wanawake wawili huko mji wa Aba, Nigeria.
Mwezi ulopita, mkuu wa jeshi la Polisi la Nigeria, IGP Kayode Egbetokun, hakuwa na namna...
"Kijana, unapopata mafanikio, usisahau Baba na Mama yako, waweke karibu na baraka zako. Kama una wadogo zako na uwezo wa kuwasaidia, wavushe kwa kuwajengea msingi wa kujitegemea, si kwa kuwawekea...
Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali...
vijana mnaojitafuta na msio na ajira ndo mkabahatishe hukoo pa kupunguzia maumivu walau,Posho si habaaa.
Maisha yapo kasi sana isee,enzi zetu barua moja tu ya kujieleza unakwenda kusimamia.Hii...
Habari ndugu wanajukwaa
Kwanza nianze kwa kusema hamna watu wanapitia changamoto nyingi za kimahusiano kama wanaume waliooa.
Kwasababu wanawake wengi wanaamini mwanaume alieoa ni mtu ambaye ana...
Habarini za wakati huu!
Kumekuwa na utitiri wa taasisi nyingi za ukopeshaji zikiwalenga watumishi wa umma, wakitumia njia mbalimbali kuwarubuni watumishi kukopa ktk taasisi zao huku wakijinadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.