Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NYOTA YAKO LEO JUMATATU JUNI 30/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
1 Reactions
4 Replies
732 Views
-Panya Hawezi Kutapika.🐭 -Nyoka anaweza kulala kwa miaka 3.🐍 -Asali ndio chakula pekee kisichoharibika.🐝 -Twiga hawawezi kuogelea.🦒 -Nyoka hawasikii.🐍 -Mchwa hawawezi kulala.🐜 -Hedgehog hawazami...
23 Reactions
43 Replies
2K Views
NIGERIA. Ilikuwa sikitisho kubwa kwa waumini baada ya mchungaji wao kusombwa na maji baada ya kujaribu kutembea juu ya maji kama vile masihi Yesu alivyofanya wakati wake alipokuwa duniani. Pastor...
10 Reactions
326 Replies
63K Views
Treni ya abiria ya SGR iliyokuwa ikitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam leo asubuhi imekwama katika eneo la Stesheni ya Pugu. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema kukwama kwa treni hiyo...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu Duniani kuna zaidi ya dini 4000, kila moja ikiwa na waumini wanaoamini kuwa njia yao ni sahihi. Hata hivyo, Wakristo na Waislamu — wakiwa dini mbili kubwa zaidi — mara nyingi...
0 Reactions
2 Replies
501 Views
Ukweli nimekuwa na tabia ambayo inanipa wakati mgumu sana hasa ninapoenda sehemu harafu ukute wale mama ntilie hapo ndio nakutana na changamoto. Mimi chakula kama kina mboga ndogo siwezi kabisa...
3 Reactions
5 Replies
374 Views
Hapana, hakuna Mtanzania halisi ambaye hana kabisa asili ya nje—kwa sababu karibu watu wote waliopo Tanzania leo ni matokeo ya mchanganyiko wa makabila, mataifa, na tamaduni zilizokuja kupitia...
1 Reactions
0 Replies
276 Views
Nashangaa sana hii ni habari kubwa watu hamsini kufa Kwa ajali huko same na jamiiforums yote isijue sio kawaida. Naomba kama kuna Uzi wa hiyo ajali nijue maana Mimi ni mpare na same ni kwetu.
0 Reactions
5 Replies
411 Views
Uoga wa kuchukua risk ni sumu kwa maendeleo. Hili ni tatizo kubwa sana kwa jamii nyingi za Kiafrika, na lina mizizi katika malezi, mfumo wa elimu, dini, na hofu ya kushindwa. Watu wengi wanajikuta...
6 Reactions
13 Replies
734 Views
Mimi ni kijana niliesomea uhasibu kwa ngazi ya Diploma, na pia nimesomea ICT kwa ngazi ya certificate. Nina changamoto ya usikivu hafifu. Hali hii ya kutosikia vizuri imekuwa inaninyima fursa...
1 Reactions
5 Replies
424 Views
Hekalu Pacha za Sol na Mon: Kupanda Ngazi ya Kusahau kwa Kimbingu hadi Kurejea kwa Ulimwengu Ufichuzi wa Siri Zilizofichika 1. Uduality wa Kimwili-Kiroho (Mwili, Akili, Nafsi) Marudio ya "MWILI"...
0 Reactions
5 Replies
408 Views
Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio. Juzi nimeuliza nikaambiwa ni...
6 Reactions
10 Replies
576 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kusikitishwa na kulaani vikali kile ilichokiita ukiukwaji wa Haki za Binadamu uliofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya waumini wa...
0 Reactions
4 Replies
472 Views
Kupitia kitabu hiki utajifunza yoga hatua kwa hatua na kumaster mikao [asanas] kwa urahisi zaidi pia utajifunza jinsi ya kudhibiti pumzi yako [pranayama] kwa faida ya afya ya mwili na akili, pia...
2 Reactions
7 Replies
445 Views
Majirani zetu sasa wameongeza route ya Nairobi - Gatwick, London, UK. Kama nyongeza kwa Ile ya route ya awali NBO-LHR. Nairobi - Gatwick - J5, Ijumaa na j2
1 Reactions
6 Replies
499 Views
Askari mlio humu...je hutakiwi kutafakari au kuhoji amri yoyote unayopewa?Hebu msikilize mwenzenu hapa👇
2 Reactions
6 Replies
682 Views
Wasalaam Hayati Magufuli alifanya nini kumaliza ajali za barabarani?Hii sio kitu kwa watawala na wanaowajibika kwa usalama barabarani? Au tutolee mfano familia za watawala kama swala la utekaji...
0 Reactions
1 Replies
271 Views
Miongoni mwa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Kanisa la Gwajima) akifanya maombi ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa na kuwekwa humo ikidaiwa sababu ni kuandamana na kukataa kutekeleza...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom