Tarehe 30 Juni 2025 ndiyo ilikuwa siku rasmi ya mwisho ya USAID kama shirika huru. Imetangazwa leo kuwa taratibu za kuondoa USAID zimetimia, na sasa kazi zake zimewekwa chini ya Wizara ya Mambo ya...
Wazee wenzangu wa online , hilo mnalionaje? Huu mtandao ni kama nime fall in love at first sight nimewapenda tu bure... hakuna wa kuwa compare kwenye internet speed.
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, wanafunzi wa vijijini sasa wanasoma mubashara na walimu walioko jijini Dar es Salaam kupitia mradi wa Darasa Janja. Huu ni ubunifu wa kipekee ulioanzishwa na...
Just mtazamo kwenye huu ulimwengu kuna sehemu ni nzuri zinavutia machoni kuzitazama zinakupa comfortability ni raha tupu kwa mfano wale wenzetu waliopewa ahadi ya mabikra ndio anapelekwa sehemu...
KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas, imezindua rasmi jukwaa la Anzia Ulipo Biashara Expo, katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba.
Lengo ni, kuwa jukwaa mahsusi kwa ajili...
✈️ Unahitaji Kusafirisha Mizigo Haraka na Salama?
Tunakuletea Suluhisho Bora la Usafirishaji kwa Njia ya Ndege! 📦🌍
PM AIR CARGO Tunaaminika na tuna uzoefu mkubwa wa kusafirisha mizigo ya aina...
Nimeona video huko instagram kijana akiwa anamaliza chuo akipongezwa na mama Salma mnaomjua ni nani huyu kijana?
https://www.instagram.com/reel/DLHuIlgImzE/?igsh=Y2V6MDJmazBkM2Fu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Zakaria El Guomiri...
ilio na simanzi vimetawala katika viwanja vya Hospitali ya KCMC, mkoani Kilimanjaro wakati ndugu wakishuhudia majeneza 36 kati ya 42 yenye miili ya ndugu zao waliofariki dunia ajalini baada ya...
Wakristo wao wanaamini Israel ni taifa teule lilichogaliwa na Mungu ndio maana mambo yote ya dini ya Ukristo na ukombozi yamepitia Israel, hawana kipengele katika hili, mjadala uliopo unaowaganya...
Salaam,
Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ?
Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata...
Walokole hapa namaanisha watu wenye sifa zifuatazo: waliotubu dhambi zao na kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wao, waliobatizwa ubatizo wa maji mengi na kujazwa Roho Mtakatifu. Ibada zao zina...
Inaarifiwa kwamba Suala la Ushoga limeanza kuongezeka kwa kasi Mkoa wa Mara ambapo Kuna danguro la ushoga, huku baadhi ya watumishi wa umma wakiwemo kwenye kundi la ushoga.
Ni miezi miwili na siku 12 sasa tangu nimeichora hii tatu ambayo maarufu zaidi kwa muda mfupi tu.
Pengine ni maarufu kwa sababu ya aina ya ushiriki wangu humu jamii forums.
Tatuu hii ina...
Rappa wa Marekani, Fetty Wap, alipata utajiri mkubwa wa dola milioni 22 ($ 22 Million) wakati wa maisha yake ya muziki. Aliutumia kwa marafiki zake, akiwalipia mavazi, tiketi za ndege, kodi ya...
PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ?
Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
Wakuu amani iwe nanyi.
Twende kwenye mada, ni namna gani naweza pata taarifa zote za namba yangu ya NIDA bila kufika NIDA?
Kwanini bila kufika NIDA?
Nimeona kabisa jamaa ananijaza i.e anasema...
Ajali ya mtu wangu wa karibu ilitokea Korogwe, michungwani Tanga miaka 4 iliyopita. Wale wakaazi wa Pale , ilikuwa saa 11 alfajiri, wakafika wakapora simu, pochi , begi na kadhalika, yule mtu...
Bodi ya mkopo ilitangaza kufungua rasmi dirisha la maombi leo tarehe 15/6/2025 ila tokea asubuhi mfumo wao haujakaa sawa kupokea maombi hayo. Changamoto ni mtandao au mfumo?