Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taarifa ya Vituo vya kufanyia Mitihani ya Taaluma Baraza la Famasi linapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kozi za famasi waliowasilisha maombi ya kufanya mitihani ya usajili na ya taaluma kuwa...
0 Reactions
1 Replies
396 Views
Ujerumani [emoji629] yenye idadi ya watu milioni 83 huzalisha umeme mwingi zaidi kuliko bara zima la Afrika lenye nchi 54 na jumla ya watu bilioni 1.5. Wazalishaji wakubwa wa umeme barani Afrika...
2 Reactions
0 Replies
178 Views
Nini maana ya kuchanga, kutoa michango. Kwa kawaida michango ikitoka kwa wanachama linafwata jambo lingine. Matumizi ya michango kwenye malengo mliojiwekea. Hii cwt nilianza kuisikia miaka...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Natafuta Nyumba nzuri ya kupanga Arusha classic appartment 3 bedroom budget 500k maeneo ya njiro Arusha, URGENT
0 Reactions
0 Replies
356 Views
Afya Katika rika la miaka 20 hadi 35, wengi hujisahau kwa sababu mwili bado una nguvu, lakini hapa ndipo msingi wa afya ya baadaye hujengwa. Kula hovyo, kukosa mazoezi, usingizi mbovu, matumizi...
7 Reactions
10 Replies
804 Views
Kwa jinsi keki ya mamlaka inavyo taste so delicious,So yummy ,so sugary 🎂 🥮... hakuna mtu anatamani aondoke kizembe.. watu wapo radhi wamwage damu amini nakwambia ili waweze ku maintain Power...
19 Reactions
92 Replies
5K Views
Wakuu,nikiwa kama mtu nipendaye kuifuatilia habari za ndani,hupendelea kutazama ITV kutokana na mfumo wa taarifa yao ya habari Lakini linalochosha kwenye kisimbusi cha DStv ni kukatika mara kwa...
0 Reactions
6 Replies
591 Views
Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache...
25 Reactions
109 Replies
5K Views
Marafiki wanutotoni Wana sifa zifuatazo:- 1. Wenye wivu mkali japokuwa hawana unafiki, ukifaulu masomo watakuambia unaringa. 2. Ni wachomaji wakubwa, yaani rafiki yako anaweza kumfikishia taarifa...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Watu wengi hudhani elimu ya nyota (Astrology) na namba (Numerology) ni ushirikina. Lakini kwa kweli, hizi ni taaluma za kale zilizotumiwa na mababu kwa ajili ya kuelewa mwelekeo wa maisha, afya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kifo kinathibitisha kwamba Wanadamu wote ni sawa.
2 Reactions
3 Replies
263 Views
Baada ya ukomo wengi wao hawakugombea tena, ukiona aliendelea na ubunge "alitenguliwa" kabla ya uchaguzi mkuu. Kwa sababu kuwa na "mafao" yanayojitosheleza yasiende Bure atateuliwa kuwa "mkuu...
3 Reactions
1 Replies
251 Views
Jana kupitia runinga niliona tangazo lililotolewa na NMB kuwa kuanzia sasa wateja wa NMB wanaweza kuweka fedha zao wenyewe kwenye akaunti zao bila kupitia dirishani. Fedha zitawekwa kupitia...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) limetangaza kusitisha utoaji wa fedha mpya na usambazaji wa fedha chini ya makubaliano ya malengo ya maendeleo (DOAGs) hadi uhakiki wa...
33 Reactions
290 Replies
13K Views
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yanayoendelea viwanja vya Mwl Nyerere jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Katika maandiko ya Yohana, Yesu alitabiri kuhusu Mfariji. Kwa kweli, neno "Mfariji" ni tafsiri mojawapo tu kati ya tafsiri nyingi zinazowezekana za maneno ya Kigiriki "Para" na "Kaleo". Moja ya...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
KAMPUNI ya mawasiliano ya Yas, imezindua rasmi huduma ya bure ya macho kwa wananchi wote wanaotembelea banda lake katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba), yanayoendelea kufanyika...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Tarehe 30 Juni 2025 ndiyo ilikuwa siku rasmi ya mwisho ya USAID kama shirika huru. Imetangazwa leo kuwa taratibu za kuondoa USAID zimetimia, na sasa kazi zake zimewekwa chini ya Wizara ya Mambo ya...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Wazee wenzangu wa online , hilo mnalionaje? Huu mtandao ni kama nime fall in love at first sight nimewapenda tu bure... hakuna wa kuwa compare kwenye internet speed.
2 Reactions
16 Replies
683 Views
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, wanafunzi wa vijijini sasa wanasoma mubashara na walimu walioko jijini Dar es Salaam kupitia mradi wa Darasa Janja. Huu ni ubunifu wa kipekee ulioanzishwa na...
1 Reactions
12 Replies
699 Views
Back
Top Bottom