Wakuu habari ya uzima wenu,,,, namshukuru MUNGU kwa uhai na neema ya upendeleo kwetu,,atukuzwe MUNGU.
Basi bila kuchelewa Moja kwa moja kwa mada ,,,, tumekuwa na ubishi takiribani inakaribia...
Na chuki kubwa inasemekana ni kwa miaka takribani Mitatu Minne hivi 75% ya Watendaji wa Idara hiyo kutokea Mji wa Ponce anakotoka Rais na siyo Mji Mkuu wa San Juan.
Na taarifa ambazo Mtanzania...
Baadhi ya wakazi wanaoishi karibu na eneo linalodaiwa kujengwa Kanisa la Arise and Shine (Kawe), linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wameeleza malalamiko yao kuhusu athari zinazodaiwa...
Mikopo Isiyo na Usawa Yaendelea Kuzikwamisha Nchi za Afrika Katika Mapambano Dhidi ya Umaskini
Wakati Mkutano wa Nne wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) ukiendelea kufanyika...
Wakuu nimekua najitafakari jinsi nilivyo na hulka ya kuchukua mazungumzo kwa mfano ni kawaida kuona watu wanapiga story au wanabishana labda mpira kwa muda mrefu hata masaa kadhaa wanaongea na...
MTU Kama Mimi mwenye miaka 53.
Nashangaa Sana pale ninapoacha kuvaa madani shingoni wanasema unapoteza touch.
Nilipanga nikifikisha miaka 53 ambayo nimefikisha mwaka huu basi niache kuvaa IST...
Nawafanyia watu (natuma) maombi ya vyeti vya kuzaliwa online. Nikiwapa fomu wakienda ofisi za RITA wanapewa cheti lakini huku kwenye mfumo hakuna mabadiliko yoyote yanayoonekana
Ni kwa nini?
Wakuu eti hapa ni Israel
Siamini ninachokiona, Hawa wairan wameshindikana haki vile Persian sio waarabu leo ndo nimeamini[emoji1313][emoji1313]
This is insane yo[emoji44][emoji33]...
Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi
Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba.
Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya uongozi, ujasiri...
Na Mjumbe wa Nafsi za Watu
Kuna jambo moja ambalo halijawahi kunishangaza kama binadamu alivyo na jeuri ya kuamini anajua kila kitu – huku akijua jambo moja tu: kuwa haelewi hata kile anachodhani...
Wakuu mpo!
Mfumo wako wa chakula (Tumbo) ni muhimu kama ubongo. Inashangaza kuona watu wakipanda boda boda wanavaa helmet ila wakienda kula wanakula kimazoea bila kulijali tumbo kama wanavyo...
Wakuu, kweli Mungu anatupenda. Ameona jinsi wanadamu walivyo wabishi na wagumu kuamini, akawatumia wanasayansi wasaidie kuthibitisha habari zilizoandikwa katika Biblia. Ripoti za wanasayansi za...
Wasalaam.
Kila kitu kizuri kina ubaya wake. Kama ilivyo umeme, maji kukurestisha in Peace ni dakika 2. Magari na piki piki vinatumaliza sana now days. Unanunua kagari kako unavimba nako...
Kama nilivosema hapo juu, hapa shinyanga kuna soko maarufu sana linaiywa nguzo nane. Kero yangu ni kwamba, hili soko linatiririsha maji machafu yenye harufu kali sana kwenye mfereji wa barabara...
Nikweli heli hela yako hainihusu kabisa wala sina mamlaka ya kukupangia namna ya kuitumia upendavo wewe
hapa tuna teta na kuelekezana tu.
MALAYA HANA SHUKRANI. ukweli ndo huo mwanamke malaya...
Kivuko cha MV Mwanza kimepokelewa katika Jimbo la Buchosa, ambapo kitakuwa kikifanya safari kati ya Nyakaliro na Kisiwa cha Kome
Kivuko hicho kimepokelewa kwa shangwe na wananchi wa Buchosa...
Na Mwandishi Wetu, Mwanza.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele leo Julai 03, 2025 amemtembelea na kukagua mwenendo wa zoezi la Uboreshaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.