Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Fahamu mikoa 10 inayoongoza kwa idadi kubwa ya wananchi wasiojua kusoma wala kuandika nchini Tanzania, kulingana na ripoti za takwimu za kitaifa. Tabora — 32% Katavi — 29.6% Rukwa — 25.9%...
0 Reactions
7 Replies
121 Views
Baby Love alikuwa msichana kijana kutoka Haiti aliyekuwa akitengeneza maudhui kwenye TikTok, huku akiwa na ndoto ya kupata umaarufu mkubwa na kuongeza idadi ya wafuasi wake. Katika harakati hizo...
3 Reactions
6 Replies
635 Views
Hii nchi mbona ni kama haieleweki enyewe. Israeli iko mashariki ya kati ambayo kiuhalisia ni bara la asia lakini vilabu vyake vinacheza uefa na hata timu yake ya taifa inacheza michuano ya ulaya...
2 Reactions
12 Replies
129 Views
Kuna barabara za mitaani hapa Kinondoni, Mkwajuni, kuanzia maeneo ya Mitaa ya Kanisani hadi Garden Uwanjani, ambako baadhi ya watu walipewa kazi ya kufunua mitaro na kufanya usafi. Baada ya kazi...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Huanza kama utani kabisa na bila kutarajia ni kama ajali isiyo na kinga hukuipanga wala kutarajia Siku mbaya JF inaweza kukuta kwenye post! Unaweka uzi wako mzuri tu halafu anakuja mtu huko na...
55 Reactions
379 Replies
15K Views
Mange Kimambi anaonekana kuwa na tabia ya kutaka kila siku yeye ndiye awe kwenye trend. Wengine wanapopata attention kubwa, badala ya kufurahia mafanikio yao, mara nyingi huonekana kuanza...
1 Reactions
2 Replies
89 Views
The modernization agenda includes deeper berths, a deeper and wider entrance channel, improved rail connections, terminal operating systems and a Port Community System. Port efficiency is being...
0 Reactions
2 Replies
27 Views
Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo amefariki dunia leo Septemba 30, 2026 kwa ajali ya helikopta akiwa na mkewe Lucy “Lulu” Muteke pamoja na watu wengine wanne. Kwa mujibu wa...
2 Reactions
3 Replies
217 Views
Kuna mtu unakuta matendo anayofanya na kero anazo fanyia wengine ni sawa sawa na giza lakini mtu huyo huyo hayampati magumu yoyote na kila analogusa linageuka kuwa dhahabu. Alafu kuna yule...
2 Reactions
5 Replies
85 Views
Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate. Hii...
24 Reactions
371 Replies
11K Views
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala imefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani humo na kuipongeza Serikali kwa utekelezaji wa miradi hiyo. Moja...
7 Reactions
43 Replies
505 Views
TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Huyu marehemu Sir Wicknell chivayo mzimbabwe tajiri alitoa mchango mkubwa wa siri kwa ccm. Mchango wake kukichangia chama cha ccm kwa ajili ya kampeni nitauelezea hapa mshangae ni milioni za dola...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Nasikia mama yenu kawatumia salamu za rambirambi... Na Bendera nusu mlingoti wiki nzima . Tuweni wakweli,ule mwandiko wa Samia au Afisa habari wa ikulu,kamsaidia mwajiri wake kuandika?
3 Reactions
8 Replies
172 Views
Wale wachambuzi wa maisha ya watu, wanaopenda kuingilia maamuzi binafsi ya watu kwa ushauri usiohitajitaka wala kuombwa wanasema, “Kuwa na angalau kaulevi kamoja. Inasaidia.” “Mtu gani unakuwa...
2 Reactions
4 Replies
64 Views
Wakati mwingine wazo moja linaweza kubadili kabisa maisha yako ukilichukua kwa uzito na kulifanyia kazi. 1. Ukiwa unaoga 🚿 Hii Ni sehemu ambayo inafanya akili yako ipumue. Ghafla unaweza kupata...
7 Reactions
17 Replies
318 Views
Walawi 19:15 “Unapotoa hukumu uamue kwa haki; usimpendelee maskini wala kumwogopa mwenye cheo. Bali ni lazima kumwamua jirani kwa haki Msisitizo: Msitafute kuwa Justices of Appeal Court.
2 Reactions
2 Replies
34 Views
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imetangaza viwango vipya vya ada za maegesho ya magari katika viwanja vya ndege, huku ada za saa ya kwanza zikianzia Shilingi 3,000 kwa magari ya...
0 Reactions
9 Replies
318 Views
Kila nikijaribu kuload next page kwenye uzi napata hii message " Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" Ni mimi tu au waTanzania wote?
0 Reactions
5 Replies
54 Views
TABORA: Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Tabora, Bw. Tumaini Gwakisa, akiambatana na wataalamu wa ardhi, akiwemo Msajili Msaidizi wa Hati Mkoa wa Tabora Na.Samweli Ibrahimu na Msajili Msaidizi...
0 Reactions
1 Replies
50 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…