Dar: CCM yatembelea daraja la Bilioni 24 Bonyokwa

Dar: CCM yatembelea daraja la Bilioni 24 Bonyokwa

informer 06

Senior Member
Joined
May 11, 2024
Posts
169
Reaction score
152
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala imefanya ziara ya kukagua
miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani humo na kuipongeza Serikali kwa utekelezaji wa miradi hiyo.

Moja kati ya Miradi hiyo ni ujenzi wa Daraja la Bonyokwa linalojengwa kwa gharama ya sh. bilioni 24.

Akizungumza baada ya kukagua miradi hiyo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Said Sidde, ameeleza kamati imeridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo na kuwataka wakandarasi kuikamilisha kwa wakati ili iwanufaishe wananchi.

Amempongeza Rais Dk. Samia, DC Mpogolo, Mkurugenzi Mabelya na watendaji wa wilaya na halmashauri hiyo kwa usimamizi madhubuti kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa.
 
Hivi hizi figure wanazotuwekea wanakuwa wapo serious au wanatania tu?

Maana kwa pesa zinazotajwa na hiko kidaraja kinachojengwa hapo ni kama mbingu na ardhi.

Hivi daraja la mto wami lilitengenezwa kwa kiasi gani?
 
Screenshot_20261002-093755_Chrome.jpg
 
Yes, TZS 24billion...you heard, 24billion shillings.
 
Back
Top Bottom