Wakati mwingine huridhishwi na maisha yako, huku watu wengi katika dunia hii wakiwa na ndoto ya kuishi maisha yako. Mtoto akiwa shambani anaona ndege ikiruka juu anakuwa na ndoto za kuruka, lakini...
Prof Assad anasema yeye akiwa university kama mwalimu alilipwa 4million baada ya kupata UCAG ikaongezeka 700k yaani total Gross CAG ni 4.7M
Net pay ni 3.3milion
Maximum salary kwenye Government...
Mtandao wa Instagram IG kwa sasa michango imekuwa mingi sana na muhitikio wake sio mbaya ni mzuri tu.
Je hakuna Hali hasi inayojificha nyuma ya hiyo michango?
Watu kujinufaisha binafsi
Najua ni wazi hujui ni ipi, na inaweza ikatokea umeipiga tu katika mazingira fulani yasiyo na matayarisho yoyote.
Lakini niamini ni mojawapo kati ya picha zako ndio itakayotumika kuwekwa juu ya...
• Wananchi Wahimizwa Kutumia Mfumo wa Kidijiti wa E-Ardhi
Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imewataka wananchi kutumia mfumo wa kidijitali wa E-Ardhi ili kupata huduma mbalimbali kwa urahisi...
DAR ES SALAAM
Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa ushiriki wa wadau katika maendeleo ya makazi, kwa kuzingatia sera, sheria na mipango ya kitaifa.
Hayo yameelezwa leo tarehe 30 Sept...
TABORA
Kliniki ya Ardhi Kidijiti inayoendelea mkoani Tabora imefanikisha utatuzi wa mgogoro wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu kati ya familia ya Bi. Osiana Ahadi Shauri na familia ya Saidi...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha maeneo ya wazi yanalindwa kwa kuwekewa alama za kudumu na mabango...
Gharama za kusafirisha dhahabu kilo moja (1 KG) kutoka Tanzania kwenda Dubai hazina kiwango kimoja cha usafiri (flat rate), bali zinajumuisha kodi na tozo za serikali (Tanzania) pamoja na gharama...
Mkurugenzi Msaidizi wa Urasimishaji Makazi, Bw. Nicholaus Mwakasege, na Msajili Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Rukwa, Bw. Ng’umbunela Langalanga, wakitoa elimu kwa wananchi kupitia Vos FM ,90.1 FM...
Katika hali ya kusikitisha, chuo hiki kikubwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, chenye majengo makubwa na mazuri, kinakabiliwa na changamoto ya ukarabati na usafi. Baadhi ya maeneo, hususan...
Kitambulisho cha kazi ni muhimu sana, hasa kwa mtumishi wa umma. Inashangaza kuona mtumishi wa taasisi za uhifadhi kama TANAPA, TAWA, TFS au Mamlaka ya Ngorongoro akifanya kazi kwa zaidi ya miaka...
Katika hali ambayo inaonesha kuweza kuja kulitetemesha taifa kupita kiasi mtu anayejiita "Daudi Balali" ameanza kuzungumza kupitia mtandao wa Twitter akijaribu kuwaamsha Watanzania kuwa taarifa za...
wana jamvi tuna wakaribisha ndugu na marafiki wote wa dr daud balali alie kua gavana wa tanzania alie fia marekani,tuna andaa sherehe za kumbu kumbu yake zitakazo fanyika kijijini kwao,tarehe...
Katika mjadala kuhusu uwepo wa mungu haya ndio maswali matano ya hovyo sana ambayo huulizwa na waamini wengi kwa bashasha kubwa lakini uhalisia yanadhihirisha IQ ndogo tu za waulizaji
1. Kama...
Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa...
Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token.
Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.