Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ushuhuda wa mbinguni na kuzimu alionyeshwa na YESU KRISTO. Tazama YouTube https://youtu.be/YoPpgm0bsP0?feature=shared
2 Reactions
3 Replies
517 Views
Kila mara kukiwa na hafla za kidini..waislam wengi naona hupenda kumualika Waziri Mkuu Kassim Majaliwa..ashiriki ibada pamoja Lakini imewahi kutangazwa kuwa Kassim Majaliwa alibadili dini na kuwa...
15 Reactions
348 Replies
75K Views
Wabongo nyoso ni wananchi ambao hawana desturi ya kusafiri nje ya nchi. Wote tumesongamana hapa Nchini utafikiri watoto wanaosubiria nyumba ya urithi. Nchi zinazotoa VISA ya bure kwa Watanzania...
10 Reactions
93 Replies
11K Views
Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa...
10 Reactions
76 Replies
4K Views
Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho. Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Kwema Wadau! Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi. Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na...
20 Reactions
139 Replies
18K Views
Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi. Mimi niliajiriwa katika kampun ya Tanzania Tooku Garments Company Limited na nimemaliza mkataba wangu kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni wa muda...
1 Reactions
84 Replies
4K Views
Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za...
1 Reactions
3 Replies
399 Views
Tukio hili linashangaza sana na linaendelea kugonga vichwa vya habari duniani. Wahandisi wa ujenzi waliobobea katika kubuni, kupanga na kusimamia ujenzi na matengenezo ya miundo ya majengo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Je, kuna haja ya kuagiza nguzo kutoka south Africa au kuharibu misitu wakati cement tunayo, kokoto tunazo na mchanga tunao? ================================= Nguzo hizi zinauwezo wa kudumu...
23 Reactions
151 Replies
35K Views
Anonymous
Ni aibu kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo maana Makabe barabara ni mbovu na hazipitiki kabisa. Kuna foleni kuanzia Mwanza garage hadi Tabata Kavimbilwa. Wahusika punguzeni siasa tunataka barabara.
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Wakenya ndani ya msiba WAKENYA NDIO KUFIKA KWA JAMAA NA RAFIKI WA MAREHEMU BONFACE KARIOKI MWANGI KWELI KUFIWA MWANA NI UCHUNGU SANA NDIO HIO MAMBO TUMEPATANA NAYO HUKU NI UZUNI NA FURAHA RIP
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Anonymous
Ni kero ya muda mrefu na inaendelea kutuumiza wakazi wa makabe kuelekea Msumi. Porojo za siasa zimekuwa nyingi huku wananchi wanateseka huku wahusika wakikaa kimya . Muda huu kuna foleni kubwa...
1 Reactions
0 Replies
227 Views
Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Je, binadamu ana uhusiano wowote wa kweli na nyota? Je, tunaongozwa nao? Tumetokana nao? Au nyota ni mapambo tu ya anga, kama taa zisizo na maana zaidi ya...
1 Reactions
0 Replies
502 Views
Jina lake: Brian Acton, alikuwa mtaalamu wa kompyuta. Alifanya kazi kwenye kampuni kubwa sana (Yahoo) miaka mingi. Alichoka kazi, akaamua kujitafutia maisha mapya. Aliomba kazi Facebook...
10 Reactions
21 Replies
931 Views
Rushwa ni tatizo la Kidunia lenye madhara makubwa kwa mtu, jamii, nchi na mataifa kwa ujumla. Rushwa imetumika kupoka haki za watu kwa kumnyang’anya haki yeye aliyeistahili na kumpa yule...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu shobo mbaya aisee!! Hasa hasa kwa hawa watu maarufu hapa mjini ukiwaona mtaani usishoboke kausha kama vile huwajui utanishukuru baadae Enzi hizo nikiwa shabiki kindaki ndaki wa CHADEMA hapa...
2 Reactions
7 Replies
559 Views
Wakati Wizkid alipoanza kupata pesa, aliwaita kaka na dada zake wote kwenye kikao. Akawauliza kila mmoja anataka kufanya nini. Kila mmoja alitoa mpango wa biashara, naye akawapa mtaji mara mbili...
5 Reactions
7 Replies
713 Views
Natafuta fursa za uwekezaji 1. Kuna Umeme kila mahali? 2. Barabara zikoje? zinapitika? 3. Ustaarabu wa watu? understanding ya watu.......
2 Reactions
22 Replies
750 Views
Wakuu ipo hivi Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti) KAZI ya vishoka Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu. Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Back
Top Bottom