Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je? Ukiwa mtumishi wa serikali ukitaka kujiendeleza kimasomo ngazi ya shahada unaruhusiwa kuomba MKOPO kutoka HESLB
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI Halmashauri imetoa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali. Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa...
9 Reactions
100 Replies
3K Views
Mwaka huu Serikali imetumia mfumo wa PEPMIS wa mwaka jana kupandisha madaraja Kwa mwaka 2024/2025. Matokeo yake watu wengi wameachwa sababu alama zao ziko chini. Kuna walimu wa ajira ya 2012...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
YouTube kila wakati inaboresha kanuni zake na vigezo vya kufuatilia ili kuhakikisha watumiaji wanapata content bora na salama. Hivi karibuni, YouTube imezindua vigezo vipya vinavyohusu matumizi ya...
1 Reactions
1 Replies
389 Views
Tunaomba wajuzi wa maandiko mtuambie mtoto wa Ibrahim aliyetaka kutolewa Sadaka ni Ishmael au Isaka? Hii itasaidia kupunguza mashambulizi ya makamanda wa Chadema kuhusu Shehe aliyehubiri Kanisani...
3 Reactions
23 Replies
981 Views
Leo nilikuwa kwenye bar moja mitaa ya Savei akapita mtu anauza vinyago vya sokwe unavaa unakuwa kama sokwe kwa ajili ya content. Anaviuza laki moja.. Anasema wateja wake wengi ni content...
0 Reactions
6 Replies
506 Views
Kampuni ya simu ya mawasiliano ya Vodacom imetangaza kugawa bilion 28 kwa wateja wake nchini. Fedha hizo zitaenda moja kwa moja kwa wateja watumiaji wa mpesa na na huduma nyingine za vodacom...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika. Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa...
16 Reactions
62 Replies
4K Views
Wakuu habari za muda huu.. Ninaomba kwa mwenye wenyeji wa Katabya Nshamba wilaya ya Muleba anijuze kuhusu maisha kiujumla kwanzia watu wake, uchumi na mazingira
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Yaani kama wewe ni kijana unataka MAENDELEO YA TAIFA LA TANZANIA Ni Bora uingie kwenye siasa pitia CCM leta changes lakini ukasema ulete harakati za no election unachelewa mnoooo
0 Reactions
1 Replies
196 Views
Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika eneo linalonifikirisha zaidi katika kuendeleza Jiji letu la Biashara la Dar es Salaam, ni mwendelezo wa Sura ya mbele ya bahari iliyopakana na nchi kavu ya Jiji la kibiashara la Dar es...
3 Reactions
5 Replies
580 Views
WTF ! Wanawake siku hizi pasua unakuta mdada analea mtoto muda wote busy na simu ku chart online hana muda wakuweka umakini kwa mtoto matoke yake mtoto anapata madhara kwa uzembe wa mama...
1 Reactions
1 Replies
220 Views
“Mungu alikuwa na kusudi lake kuipatia Pemba karafuu. Na kusudi hilo lilionekana miaka ya 70 na 80, utajiri wa watu wa Pemba ulivyotokana na karafuu. CCM walipoona watu wa Pemba wanafaidi na...
0 Reactions
2 Replies
321 Views
Watu wanne matajiri zaidi barani Afrika wanamiliki utajiri wa dola bilioni 57.4 (sawa na euro bilioni 48.9), kiasi ambacho kinawafanya kuwa na utajiri zaidi kuliko nusu ya wakazi wote wa Afrika...
1 Reactions
1 Replies
766 Views
Pamoja na majukumu mengine TET kama chombo cha Serikali kimepewa jukumu la kusimamia na kuendeleza Elimu yetu nchini, pamoja na unyeti wa chombo hiki kimekuwa na utendaji kazi mbovu ambao kwa...
4 Reactions
4 Replies
768 Views
DIASPORA WAWEKEZA BILIONI 7.5 UTT - AMIS Mhe. Mahmoud Thabit Kombo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
0 Reactions
4 Replies
511 Views
Hamjambo Watu wote! Moja ya mambo yaliyonipa uelewa wa maisha na kupanua akili yangu mbali na kusoma vitabu, kuwa na muda wa tafakuri, kujifunza kwa nguvu za Mungu. Ni pamoja kuishi na Wazee...
3 Reactions
8 Replies
714 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema inafahamu hoja kuhusu suala linalohusu tuhuma za rushwa kwa Mkazi wa Kijiji cha Izumba kilichopo Uyui Mkoani Tabora. Awali, Mwanachama...
1 Reactions
2 Replies
397 Views
Back
Top Bottom