Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi,
kama wao wameweza na sisi Tanzania...
Habari wana bodi,
Tanzania nzima hakuna wananchi wanapata shida ya usafiri kama wananchi wa Rombo! Kuna ukiritimba gani uliopo kwenye vyombo vya usafiri Rombo? Kwanini wananchi wanateseka hivi na...
Kesi ya Kikatiba nambari 16408 ya Mwaka 2025 iliyofunguliwa na waumini 52 wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) inatarajiwa kuanza kusikilizwa leo Julai 11, 2025 katika...
RAIS SAMIA NA MAPINDUZI YA NISHATI SAFI. ZAIDI YA MAJIKO 452,445 YASAMBAZWA BURE. LENGO KUPUNGUZA VIFO VYA WA KINA MAMA
Rais Samia kwa kutambua kwamba vifo vitokanavyo nishati hafifu ya mkaa na...
Wale jamaa na uzi wao wa kunywa mikojo yao ya asubuhi ili washinde bet za milioni 200 na watu walikunywa kwa kweli maana sisi waafrika na mambo ya kufikirika,🤣🤣🤣
Uzi wa Ontario na victims wake ...
Habari Wakuu.
Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo...
Ni hivi pata taswira mjongeo, uko mbugani ukaona Simba katika mawindo yake anamkimbiza swala nae swala anakimbia hatari kwa maneuvers na kasi ya ajabu...
Huku na huku, huku na huku Swala akapita...
Usinune sasa unapopata nafasi ya kufurahi moments nzuri hazi dumu, moments nzuri ndio tunazipambania katika lifetime yetu yote.
Unaweza kuta ndio ulikua wakati wako bora wa kufurahi na kuhadithia...
Mtu mmoja aliyekuwa akifahamika kwa jina la Castory Madembwe ambaye alikuwa anatafutwa kwa zaidi ya mwezi mmoja tangu kupatikana kwa taarifa zake kwamba ametekwa,hatimaye leo Jeshi la Polisi...
Ninatamani siku moja tupate mabadiliko lakini hilo haliwezekani kwa miaka ya hivi karibuni.
Hizi ndizo sababu na ukweli unaotakiwa kuufahamu
Ukweli no 1.
CCM huwa wanashinda kwa uhalali kiti cha...
Kuna kizazi cha vijana kinachoamka kabla ya jua kuchomoza. Hawana misururu ya sifa, wala kamera zinazofuatilia maisha yao. Lakini ndani yao, kuna moto moto wa ndoto kubwa usiozimwa na maumivu ya...
Shauri lilofunguliwa na Bodi ya Wadhamini la kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa jina la kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limeahirishwa...
Nimesikitishwa nilivyoona waadhimishaji wa siku hii wakiikatia mauno na kuifanya kama sherehe ya uzinduzi wa mradi wa maji.
Nina mashaka sana na jinsi tunavyotaizama changamoto hii ya rushwa...
Maoni ya wajumbe mbalimbali kuelekea Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akijibu kuhusu swali la wajumbe kuwa vigeugeu Mary Komba, Mwenyekiti wa UWT Tawi la Biyuda, Kinondoni amesema "Ni kweli wajumbe...
Mh. Jaji Mkuu,
Kwanza nikupongeze sana sana sana kwa kuchaguliwa kuwa Jaji wetu Mkuu wa Tanzania.
Wakati huu unaingia, tunakumbuka kuwa Jaji wetu mstaafu alikuwa akisisitiza sana sana haki na...
Nimepita kwenye barabara ya Mazimbo–Manyuki, ambayo niliilalamikiwa hapa JamiiForums, na nikaona ni vyema nilete mrejesho kuwa kwa sasa imekwanguliwa kwa kutumia greda ili kupunguza mashimo...
Hili kundi bado lipo nyuma sana kifikra.
Wapo bize hapa wamejazana kwa Mtendaji Kata warudishe barua za maombi ya kusimamia Uchaguzi Mkuu.
Naambiwa leo ndio mwisho, kwanini kada nyingine...
●Ni kupitia Msafara wa waendesha baiskeli wa Twende Butiama
Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kulia) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Geofrey...
Kumekuwa na wimbi la matetemeko hapa HANANG Kutokana na majanga yaliyotukumba mwaka 2023, ya maporomoko ya tope Toka mlima Hanang, bado wananchi wanahofu ya kukumbwa na janga lingine.
Hivyo basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.