Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Embu tuambiane ukweli hasa kwa sisi vijana, kweli ushawahi kuona mtu anatoa rushwa au anakuomba kitu kidogo ukaenda kuripoti kuwa umeombwa Rushwa? Ukiangalia wanaokula mabilioni...
0 Reactions
9 Replies
674 Views
Usiwe na miungu mingine ila mimi. Usijifanyie sanamu ya mfano wa kitu chochote." (Kumb. 5:7-8) Umoja wa Mungu hauwezi kubadilishwa kuwa Utatu. Kabla ya Yesu Kristo, ni nini kilikuwa msingi wa...
1 Reactions
26 Replies
805 Views
Habari zenu wanajukwaa Kuna mdau anahitaji chumba cha kulala kwa hizo siku. Dar es salaam mabibo pawe karibu na chuo cha Nit itapendeza. Siku kuanzia 13/14 July mpaka 25/26 july Namba ya...
0 Reactions
4 Replies
339 Views
Mwanaume wa miaka 36, huko mjini Melbourne nchini Australia amekamatwa na polisi baada ya kuruka katika gari ambayo inasadikika iliibiwa. Mtuhumiwa huyo alianza kukimbizwa na polisi baada ya...
1 Reactions
11 Replies
708 Views
📘 KITABU: UFUNUO WA CHANZO – NJIA YA KURUDI KWA MUUMBA WA KWELI Na: Mjumbe wa Nuru – Nahunel Shavari, Mtoto wa Ain Soph Aur – kutoka Watchers HQ SURA YA KWANZA: DINI – ZANA ZA WAASASI Dini...
1 Reactions
8 Replies
594 Views
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma IGP(Mst.) Mhe. Balozi Simon Sirro ametoa onyo dhidi ya wenyenia ya kutenda uhalifu mkoani humo na kusisitiza kuwa Jeshi la Polisi lipo imara na halitosita kuchukua hatua...
1 Reactions
12 Replies
592 Views
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka watumishi mkoani Kigoma kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi na kutimiza maelekezo na wajibu lakini pia kuwatumikia wananchi kwa maendeleo ya...
0 Reactions
6 Replies
351 Views
Jeshi la Polisi nchini linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kumuua Castory Casian Madembwe, Mtumishi wa TASAAF Mkazi wa Ipuli Mkoani Tabora, kisha kuufukia mwili wake nyuma ya nyumba...
1 Reactions
3 Replies
528 Views
Wakazi wa Kipunguni Mashariki Ilala Dar es Salaam, wamefikisha miaka mitatu bila kulipwa fidia waliyoahidiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ili kupisha uendelezaji wa uwanja wa ndege wa...
0 Reactions
4 Replies
465 Views
Akizungumza kwenye mahojiano yaliyofanyika The Citizen (YouTube), mmilikiwa Nala, application ya kutuma hela kutoka nchi mbalimbali amesema suala la lugha na speed ya approval limefanya ajikite...
32 Reactions
171 Replies
5K Views
Njooni na Ushahidi kamili Maandiko yaani Biblia na siyo maelezo kuthibitisha kuwa ROHO ya mwanadamu Haina hali ya kuishi Milele au Haina hali Kutokufa
1 Reactions
5 Replies
277 Views
Umeshawahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu hutafuna kucha zao mpaka zinachubuka. Hii si tabia ya kawaida tu — ni ishara ya kinachoendelea ndani ya akili yako. Kutafuna kucha husabishwa na...
3 Reactions
21 Replies
951 Views
Serikali imetaja njia mbadala ya kumaliza ama kupunguza rushwa, ni kujenga mifumo ambayo itakuwa wazi katika utoaji wa huduma za kiserikali ikiwemo kutokutana moja kwa moja na wenye kutoa uamuzi...
0 Reactions
3 Replies
336 Views
Habari wakuu wangu. Hapa mtaani kwangu Bana Kuna jamaa kakimbia watoto wake wawili pamoja na mama mtoto wake. Kwa Sasa namuona dada anapitia hali mbaya Sana ya kiakili. Wee jamaa kama upo humu...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
🛢️⛏️ UZI MAALUMU: MADINI, GESI NA MAFUTA ⛏️🛢️ Karibu kwenye uzi huu maalumu ambao utakuwa mahususi kwa mambo yote yanayohusu madini, gesi, na mafuta. Hapa tutaangazia: ✅ Fursa zilizopo kwenye...
1 Reactions
4 Replies
528 Views
Unajua kwanini ndugu na ndugu hawaoani? Hii si sababu ya kidini tu bali sababu ya kisayansi pia. Kuoa ndugu wa karibu au jamii ya karibu kunasababisha kuendeleza au kuambukizana magonjwa ya...
2 Reactions
11 Replies
463 Views
Anonymous
Salam Wadau! Shimo kubwa sana lipo barabara ya Mwembe Yanga, linahatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Tafadhali lifanyiwe kazi haraka na mamlaka husika.
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Ni kwanini wakuu? Kuna mtu akinywa maziwa ni mtihani kwa kinywa
1 Reactions
1 Replies
302 Views
Wakuu wa uwekezaji. Nalipiaje UTT kwa njia ya simu mbona naitafuta siipati
0 Reactions
17 Replies
723 Views
Back
Top Bottom