Alikataliwa kila mahali lakini baadae akaibuka mshindi

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,226
Jina lake: Brian Acton, alikuwa mtaalamu wa kompyuta. Alifanya kazi kwenye kampuni kubwa sana (Yahoo) miaka mingi.

Alichoka kazi, akaamua kujitafutia maisha mapya.
Aliomba kazi Facebook wakamkataa.
Akaomba Twitter wakamcheka.
Akaandika kwenye Twitter yake:

“Nimejaribu kujiunga na Facebook wamekataa. Ni sawa, maisha yanaendelea.”

Alikataliwa kila mahali. Hakuna aliyemuona wa maana.
Alikuwa hana kazi, hana hela nyingi, hana pa kuanzia.
Brian akaanza kubuni App ndogo kwa kutumia laptop ya zamani aliyokuwa nayo.
Miaka michache baadaye, akazindua app iliyoitwa:

📱 WhatsApp.
Ndiyo hiyo tunayojua Ndio hii tunayotumia Leo
Ndiyo App ambayo Facebook yenyewe (iliomkataa zamani) ilikuja kumnunua kwa zaidi ya Dola Bilioni 19 (zaidi ya Trilioni 44 za Kitanzania)

✅ Thamani yako haiko mikononi mwa wengine – iko ndani yako.
✅ Ukiamini ndoto yako hata waliokucheka watakuinamia.

Kumbuka: Kama Facebook walikataa kumpa kazi, lakini baadaye wakalipa mabilioni kumnunua basi ndoto yako inaweza kuwa kubwa kuliko nafasi uliyokosa.
Hembu Angalia hapa
• Yusufu alikataliwa na ndugu zake, akauzwa, akawekwa gerezani lakini mwisho wa siku, alikuwa waziri wa Misri.
• Yesu mwenyewe alikataliwa na watu wake, lakini leo jina lake linainamisha kila goti.

Usikatishwe tamaa na mlango uliofungwa. Kuna mlango unaoitwa WhatsApp unaokungoja upande wa pili. Endelea kuamini kile Mungu ameweka ndani yako. Waliokukataa leo, watakuja kugonga mlango wako kesho.

“Tazama, nakuwekea mlango uliofunguliwa, wala hakuna awezaye kuufunga.” (Ufunuo 3:8)
 
Conquer the world.jpeg
 
“Tazama, nakuwekea mlango uliofunguliwa, wala hakuna awezaye kuufunga.” (Ufunuo 3:8)💗💗💗
 
Ulaya unaweza fanya kitu kipya kisicho onekana kuwa na maana mwanzoni na ukatoboa sana, wao wanapenda new ideas. Tanzania ku adopt kitu kipya hizo changamoto zake kuanzia jamii hadi TRA, TCRA, TAPOL lazima usande.
 
Thanks for this mental health
 
Ulaya unaweza fanya kitu kipya kisicho onekana kuwa na maana mwanzoni na ukatoboa sana, wao wanapenda new ideas. Tanzania ku adopt kitu kipya hizo changamoto zake kuanzia jamii hadi TRA, TCRA, TAPOL lazima usande.
Kudadeki umesahau vijicho
 
Back
Top Bottom