Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukila na kipofu usimshike mkono, wahenga walisema! Zimebakia dakika chache kumaliza siku hii ya Jumamosi. Kwa wale wenzetu wanao abudu siku hii. Ndio wanamalizia Sabato yao. Kwa wasijua ni kwamba...
4 Reactions
64 Replies
10K Views
Kama kuna watu whuni, wanyama katili na wenye rohombaya sana basi hawa ndugu wanaongoza. Wao wanachojua ni mashindano yq kukusanya pesa tuu na kuzitumia kwenye mambo binafsi ya kifahari na...
43 Reactions
165 Replies
5K Views
Kitaa hali ni ngumu sana, hata ukiacha haka kamvua ka leo. Ukame Joto Fukuto Ukosefu wa maji Mke wa Kapola aliwahi kuishiwa na gesi ya kupikia. Mumewe akafanya muujiza, mtungi ukajaa gesi...
8 Reactions
30 Replies
464 Views
https://youtu.be/H2zh2PO4M00?si=hpix_Gk8rn7STHGf
2 Reactions
12 Replies
117 Views
Nimepata msamiati mpya kutoka kwa Mbuge Msukuma alipo kuwa anamuelezea Maku wa Rais Mhe. Deo Ndejembi alimuasa Makamu Mpya kuwa asiwe na tabia ya " kupiga shoti wenzake". Bilashaka neno hilo lina...
1 Reactions
6 Replies
269 Views
Sitaki kueleza sana ila wakuu life limeninyoosha hasa naombeni dili yoyote mi nitapiga life ni tite kinoma aisee kila unacho fanya hakiendi mpaka kula kwenyewe shida tafadhalini leteni Dili...
3 Reactions
2 Replies
58 Views
Watu wa Mungu happy ney year naombeni mnifundishe kubetti nipate hela . SItaki uchawi nimeokoka naenda chuch . Please msaada
7 Reactions
31 Replies
474 Views
Nilikuwa na tabia ya kubeti mara nyingi kwa siku kitu hiki kilikula pesa zangu bwana. Siku moja nilikaa chini na kujiuliza: “Hivi kweli hii ndiyo njia ninayotaka kuishi?” nikawaza sana na kuona...
1 Reactions
5 Replies
210 Views
Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu...
1 Reactions
7 Replies
182 Views
Eti Wakuu mnafanyaje? Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka...
5 Reactions
14 Replies
304 Views
https://www.instagram.com/p/DI_yEyDICqU/?igsh=MTI5ZDUzaW5mNWM3Zg== Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa...
10 Reactions
326 Replies
15K Views
Habari ndugu! Nimeleta uzi huu ili uliunganishe jamii ya watanzania ambao wameathirika na uraibu wa kamari na wanaoazimia kuachana na uraibu huu. Kamari/kubeti ni moja ya janga linaloangamiza...
3 Reactions
40 Replies
270 Views
Mimi ni mlevi wa online CASINO hasa kutoka play Master na Meridian Bet. Nimeanza kuzicheza 2018 hivi. Nilizikuta tu mtandaoni bila kuelekezwa na mtu, nikajiunga na kuanza kucheza kwa dau dogo...
26 Reactions
215 Replies
29K Views
Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea...
18 Reactions
67 Replies
4K Views
5codes zingatia no.3
6 Reactions
9 Replies
193 Views
Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?
11 Reactions
437 Replies
33K Views
1.AMANI YA NCHI YETU 2.UMOJA WA KITAIFA 3.TUOMBE KWA AJILI YA VIONGOZI WETU 4.UCHUMI WA TAIFA 5.UTAWALA WA HAKI NA SHERIA Chochote Mungu atakachokuongoza kuomba KWA AJILI ya NCHI yetu omba mana...
3 Reactions
20 Replies
115 Views
Kamari imekuwa janga kubwa, hasa kwa vijana na watu wengi kwa ujumla. Imeua ndoto nyingi na kusababisha watu kupoteza mali, kazi na hata maisha. Zaidi, michezo ya kubashiri mtandaoni kama casino...
9 Reactions
41 Replies
282 Views
Kuna kitendo cha kikemia kinahusika kuunda vinywaji hivi kuna juice zenye kulevya,kuna mchanganyiko mwingine mbaka unatoa moto au moshi na mtu unapokunywa huelewi unakunywa juice,wine,gin au...
3 Reactions
8 Replies
86 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…