Nina kijana mdogo kama miaka 17 hivi yuko form 4.
Hivi karibuni amekua na tabia sizielewi kabisa na amekua akijishtukia kila tukikutana na kuficha vitu nisivyo vielewa.
Muda mwingi pia yuko na...
Isa 17:4 SUV
[4] Tena itakuwa katika siku hiyo, utukufu wa Yakobo utapungua-pungua, na kunona kwa mwili wake kutakonda.
Onyo linalotolewa hapa ni kwa sababu ya kupungua kwa utukufu wa Mungu kwa...
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU UDANGANYIFU KWA KUTUMIA JINA LA BALOZI DKT. EMMANUEL JOHN NCHIMBI
Hivi karibuni kumekuwepo ongezeko la matukio ya udanganyifu yanayofanywa na watu wasiojulikana...
Wakuu hii kauli imekaa kitapeli sana eti kutoa ni Moyo na si utajiri!? How?
Imagine umechapisha kadi za ufadhiri na kianzio umepanga Single iwe 150k Double 280k
Halafu mwishoni unaandika maneno...
https://youtu.be/3eBdPc6iUpo?si=kpI2UiCWjNX7qspv
Naendelea na mada zangu za Mkoa kwa Mkoa kuwahabarisha miradi mikubwa inayotekelezwa na Serikali ya mama mikoani.
Baada ya Kigoma na Mbeya sasa...
Inaanzia nikiwa eneo ninalifahamu nikaenda kunywa supu anaye pika supu namfahamu ni kweli anauzaga supu na huwa nakunywa mara kadhaa asubuhi nikiwa kazini.
Sasa nilipofika kwenye sufuria ya supu...
Kitabu hiking kimetoka mwaka huu. Kinazungumzia historia ya Huawei na maanzilishi wake. Jinsi Huawei ilivyoanza hadi kuja kuwa kampuni kubwa kabisa ya Telecom duniani. Ikizipita Ericcson, Nokia na...
Ukweli wa kushangaza ambao huenda kasisi wako hajawahi kukuambia ni kwamba Agano Jipya
Waandishi wa Injili hawakuandika kile walichokisikia moja kwa moja kutoka kwa Yesu. Badala yake, waliandika...
ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la...
Swali langu ni fupi tu,je nchi za wenzetu uko majuu yaani uko kwa wazungu kuna makabila kama ilivyo nchi za afrika?
Mfano Tanzania,wajita,wagogo ,wasukuma,wajaga ,wanyakyusa,nk
* ukitaja nchi...
MUME NA MKE MKISHIRIKIANA, KULEA WATOTO NI RAHISI NA RAHA KAMA KUNYWA MAZIWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ndio maana unatakiwa uwe Makini Sana kutafuta mwenza wako. Ndio maana unapaswa...
Habari?
Natafuta Pombe ambayo nikinywa haina harufu mdomoni. Namaanisha hata kwenye interview naweza timba nikatoka HR akaniona mnyama bila kushtukia issue kwa hapa TZ.
NB. Kama hujui kaa kimya.
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU
Leo Nina Raha sana moyoni mwangu jamani
Yaan nasikia aman sana sijui hata kwa nini? Ndo nakumbuka mda huu kumbe ni YESU KRISTO jaman
YESU KRISTO hunipa...
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa jumla ya Hati Milki za Ardhi 1,176 wakati wa Maonesho ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yaliyomalizika mwishoni mwa wiki.
Katika maonesho...
Walaani wastaafu wanaokikimbiza chama mahakamani… Wamtaja Rais Samia, Kikwete na Majaliwa kama mifano ya kuigwa
Na Mwandishi Wetu
Wanachama wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wameibuka kwa sauti...
Utaratibu ulowekwa sasa wa ndugu kuona wagonjwa Hospitali ya Morogoro sio mzuri kiasi kwanza huleta ugomvi wa mara kwa mara kati ya walinzi na ndugu wa wagonjwa.
Pia kutoa mwaya wa upendeleo kwa...
Hebu fikiria. Umefanya kazi kwa miaka 32 ukiwa mtumishi mwaminifu, na ulipofika miaka 60 ukastaafu kwa mujibu wa sheria. Unalipwa pensheni yako kwanza mkupuo wa 25% halafu asilimia 75 inayobaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.