Jaman wahusika waambiwe tunalitia aibu taifa vyoo vya terminal 3 tayari vinafanana na vya stendi ya zamani ya ubungo. Zile shimo za kutolea maji chini ziko wazi imagine wageni walikuwa wanasifu...
Naandika Kwa masikitiko sana.
Kuona taasisi nyeti na yenye heshima kubwa Duniani na Tanzania inaharibiwa na washirika wake wengi.
Jeshi la polisi Mara nyingi limehimiza wananchi kutoa taarifa...
Wasalaamu Wapendwa.
Kuna changamoto nimeanza kuiona toka Jana,nilikuwa natuma sms kwa wateja wangu ambao nawaombea mikopo kwenye bodi ya mikopo na elimu ya juu(Heslb).
Wakati nawasiliana nao na...
Kuna huyu dogo anajiita Raisi wa Tahilso
Amekuwa sana kwenye media kujibizana sana. Eti anaweza kumjibu Polepole.
Swali langu ni je ?mimi ndio niko nyuma sana kwenye nchi yetuau
Yeye ni...
Anaandika Kigogo
NYUFA NI KUBWA SANA HATA MFICHE VIPI ,BASHE AMEITIA CCM MATATANI
Kitendo cha kuahirishwa vikao vya juu kabisa vya CCM kwenye kufanya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi mkuu wa mwaka...
CCM OYEEEEEE
👉OYEEEEEEEEE
CCM SAFIIIIIIIIII
SAAAAFIIIIIIIIIIIII
Ukweli mtupu ni kwamba anae weza kuitoa CCM madarakani ni Mungu pekeee
CCM mitano tena SAMIA SULUHU HASSAN MITANO TENA
Baada ya jeshi la Israel kupiga kanisa na kuuwa watu waliokuwemo ndani, sasa huu umekuwa muda wa watu kufunguka macho na kuanza kuhoji huo utakatifu wa ardhi ya Israeli...
Habari..
Kumekuwa na udanganyifu kwenye baadhi ya ndoa za kikristo. Kwa sheria na taratibu zao imeruhusiwa ndoa moja tu. (Nyingine zitafungwa ikiwa mwanandoa mmoja amefariki au ndoa kubatilishwa...
Sijui wanaweka nini humo ndani, maana ni kama fashion kwa sasa.
Juzi wakati nipo Taifa kuna kijana nilikaa nae jirani wakati anafungua nikachungulia, Ajabu katoa headphone ya simu na hamkuemo na...
Hivi kwanini watu/madalali wanauza furniture mitandaoni na katika furniture stores huwa wanaita hili eti ni KABATI ? hivi kweli hawajui KABATI ni nini/likoje ?
Wataalamu wa Kiswahili hebu...
Inalilah wainailah rajiun
Mtoto amepatikana amefarik akiwa amedumbukia kisimani nyumbani kwao
Shukran sana ndugu zangu kwa dua zenu na ushirikiano wenu
Pia...
JINSI UNAVYOWEZA KUMVUTIA MWANAUME WA MAANA/BORA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mwanaume wa maana ni ndoto ya wanawake wengi waliopevuka, wanawake wanaohitaji kuwa na familia Bora, familia...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini ya Kiislamu katika Dua ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Marehemu Salim...
Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua.
Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza...
Naangalia movie inaitwa “delta force” ni tamu sana ngoja tuone kama atapelekwa wapi huyu abiria!!
Tuone kama akina chuck norris watawahi kumuokoa…
Ni movie ya mwaka 1986 ila haichoshi…
🍑🥒
Unakuta unaishi maisha roho iko juu juu, wengine wanatembea na vaseline mfukoni kwa maana unajua unatembea na mke wa mtu.
Unakuta unanunua malaya ukipiiga tu unaanza kuwaza hela yako ya mfuko...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefika nyumbani kwa Mrisho Mpoto Kijichi Dar es Salaam kumpa pole kwa msiba wa mke wake Bi. Mariam Ally uliotokea Julai 15, 2025 Julai 16.
Mrisho Mpoto ni balozi...
Hivi ninyi viongozi wa Bajaji jiji la Mbeya mna matatizo gani?
Sawa tumekubaliana kuwa madereva wote wa Bajaji tubebe Abiria Kwa nauli ya shilingi 800 kituo Hadi kituo,Sasa Kuna shida gani kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.