Tunarudi Tena Mwezini. Picha unayiona ni Alama ya mguu baada ya binadamu kutua Mwezini 🥾.
Imepita zaidi ya Miaka 56, baada wanaanga Toka Nasa Neil Armstrong na Buzz Aldrin walipofika Mwezini, na...
Ninawasilisha andiko hili kwa nia ya kuonesha kukatishwa tamaa kutokana na uzembe wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (Gaming Board of Tanzania) katika kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa...
Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) haifuatilii michango ya wanayokatwa Wafanyakazi kwenye kampuni, wanafanya kazi kwa mazoea au wanaziogopa baadhi ya taasisi.
Hali hiyo...
Na DaVinc XV
Katika dunia hii pana yenye milima na mabonde, mito na bahari, jua kali na theluji yenye baridi tele, mwanadamu ameendelea kuishi karne kwa dahri akiwa tofauti kwa sura...
Mimi ni dereva Bodaboda napatikana Kata ya Mbezi Msumi hapahapa Dar es Salaam, tulijichanga tukanunua eneo la ardhi katika Kijiji kinaitwa Zumba kipo Boko Mnemela, Kibaha Mkoani Pwani...
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Kati, Said Idd (katikati), Meneja wa Yas Kanda ya Kati Frank Anthony (kushoto), na Meneja wa Mixx by Yas Kanda ya Kati Charles Gasper (kulia) wakifurahia jambo wakati wa...
Soko Kuu la Kariakoo lililoungua Mwaka 2021 kisha kujengwa lote limekamilika, pamoja na kwamba kumekuwa na ahadi nyingi za viongozi wetu lakini kwa ufupi hakuna kinachoendelea cha maana mpaka...
Nimekuwa nikiona hawa wenzetu ni kama wako makini sana na elimu yao.
Yako mafanikio mengi yanayoonekana wazi kutokana na uwekezaji kwenye elimu yao.
Hivi majuzi wamegundua mashine ya kusaidia...
Kwako Afisa Elimu Ilala,
Poleni na majukumu ya kila siku.
Kuna shule moja ambapo mtoto wa rafiki yangu amehamia mwaka huu. Kwa wanachoona watoto, inasikitisha sana sana. Ile shule inaonekana...
Tulipo sio tulikotoka kisiasa, kielimu na hata kiuchumi. Yapo mazuri yamefanyika lakini yapo mabaya yamefanyika na kuacha majeraha katika mioyo na fikra zetu.
Hatuna taifa lingine isipokuwa...
Wema unaoweza kukupeleka JELA
1. Kutoa lift kwa wanafunzi wa kike - haijalishi hata kama kuna mgomo wa daladala, ni hatari ! mtoto anaweza achelewe kufikia kwao na kuna mtu alikiona umempakia ni...
Poleni na majukumu wakuu.
Jana usiku usingizi uliwahi kukata nikajikuta nimeamka saa 7 usiku nikatulia na kutafakari mawili matatu ilivyo fika saa 9 usiku nikaanza kupata usingizi.
sasa ndoto...
Wakuu wasalam
Kwanza naomba kabla ya yote Mshana Jr ujibu PM mkuu kuna wengine tukija kukata moto jua ni makosa yako kushindwa kutuhudumia aiseeee
Wakuu kiufupi nimestuka mda huu baada ya kuota...
Kesi ya Jinai nambari 11805/2024 Jamhuri dhidi ya Boniface Jacob na Godlisten Malisa imeendelea leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Ifuatayo ni sehemu ya kilichotokea mahakamani leo.
____...
Huo hapo chini ni mche wa tunda la PASHENI. Inafahamika kuwa katika ukuaji wake, hutambaa juu ya miti au egemeo litakalokuwa jirani yake. Nilikuwa nasubiri ukue vya kutosha ndipo niuwekee egemeo...
Mfumo wa maombi ya leseni za biashara za studio, decoration service n.K zinahitaji kibali cha baraza la sanaa (BASATA), sasa huu mfumo wao unaitwa (AMIS) uko slow na haumalizi hata kujisajili...
Simba, Chui, Fisi na wanyama wengine wala nyama walikuwa wanakula nini katika bustani ya Eden?
Chatu alikuwa anameza kitoweo chake katika bustani ya Eden?
Mamba alikuwa anakula nini??
Ndege...
Maisha huwa yako na utangulizi kama ambavyo ilivyo kwenye vitabu mbalimbali, na lengo la utangulizi wa kwenye maisha huwa unamlengo sawa sawa na ule ambao upo au unawekwa kwenye vitabu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.