Umepatwa na emergence inayohiitaji pesa cash milioni 10 ndani ya lisaa, sio vifaa vya ujenzi vya nyumba unayojenga, Gari, kiwanja, shamba, mzigo wa stoo, n.k.
Yaweza kuwa:
1. Tatizo la kiafya...
Chanzo cha picha,Reuters
Maelezo ya picha,Familia ya Al Saudi ya Saudi ArabiaMaelezo kuhusu taarifa
Author,Abdalla Seif Dzungu
Nafasi,BBC Swahili
X,@SeifDzungu
Akiripoti kutokaNairobi Kenya...
Hii ni thread niliiandika mwaka 2015, na ni mojawapo ya thread ilisomwa sana humu JF, na hata kuandikwa gazeti la Mwananchi. Kutokana na umuhimu wake, nimeona niihuishe tena nikijua kuna wengine...
Vijana wengi leo hii tumeingiwa na uoga kutokana na matukio yanayoendelea siku baada ya siku yakihusisha vijana na watawala,, ni ngumu sana leo hii kijana kujitokeza na kujadili hoja zito...
Habari wadau
Wazazi wengi tunaosomesha watoto tutambue zama zimebadilika.
Kuepuka hasara na gharama bora kwenda direct kama wahindi.
Ukienda kampuni kubwa za ukaguzi wa hesabu hapa Tanzania...
Maisha ya watu wanaishi ng'ambo ya shule ya msingi matossa baada ya kuvuka
Maporomoko ya maji wnaishi maisha ya kizamani imagine jiji km Dar watu hao wanaoshea vyombo mtoni, yaani vyombo vyote...
Nimeona katika nyuzi kadhaa, some people show up in comment sections just to say “stupid.” No explanation. No logic. Just a quick jab and scroll.
Calling others stupid says more about you than...
◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau
◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku...
Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio.
Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv.
Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo.
Mwanaume akimbilii...
Wengine tuna Ndugu, Jamaa na Marafiki wanaoishi huko
Hata wana Jamii Forums maarufu kina Lucas Mwashambwa GENTAMYCINE Ritz kipara kipya Tlaatlaah wanakujua, wana ndugu zao, wanaishi au waliwahi...
Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo.
Julai 21, 2025, Bagamoyo, Pwani: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt. Dkt. Hussein Mohamed Omar ametembelea Wakala wa Maendeleo ya Uongozi...
Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi wa Mali za mama mzazi, nilipofuatilia mafao yake (PSSF) nilijibiwa ya kuwa kama ameshapokea fao lake kustaafu pamoja na fedha za kila mwezi kwa kipindi cha...
Mwenyezi Mungu anapokuangalia Bado anaona ndani yako uwezekano mkubwa wa KUWA Bora kuliko ulivyo Sasa.
Watu wanaweza kuona mwisho wako utakuwa hivyohivyo, lakini Mungu wako anaona uwezakano...
Mwaka 2004 Safaricom waliingia mikataba na Huawei wawatengenezee system ya kuwawezesha kuwa na billing system walioiita M-Pesa. Huawei waliwazungusha hadi CEO akaenda China akasitisha mkataba...
Mwanafunzi anapoanza form one anatakiwa ajifunze udereva na sheria za barabarani ni ajabu udereva haufundishwi mashuleni
Kuanzia form one mpaka four Mwanafunzi anatakiwa asomee udereva wa
Magari...
Huu ni wakati wa kununua viwanja na kukamata maeneo Dsm, na nje ya mji
Kwa kasi hii ya mji kukuwa ukizubaa baada ya miaka 5 usitarajie kama utakuja kupata eneo tena
Kuna maeneo Dsm ndani bado...
Nasikia Tanzania umepata fursa ya kupeleka china Bure ( bila kukatwa ushuru etc) KWA maZao 18 ya kilimo.
Nimemsikia jamaa mmoja TikTok anadai ni muwakilishi wa watanzania wanaoishi china akisifia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.