Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi sasa ni saa 4 usiku na madakika! Salamu kwenu wanajukwaa! Katika jamii tunazoishi tunashirikiana na watu wengi sana, kila siku inapoanza maisha yetu yanahusisha kukutana na watu mbalimbali...
4 Reactions
65 Replies
2K Views
Utajiri una mambo mengi magumu na mwisho wa siku unakuja kuangukia pua au kupoteza watu wako wa muhimu. Ukienda kwa mganga usimwabie nataka utajiri ila mwambie nataka mambo yangu yaende kila...
20 Reactions
94 Replies
5K Views
Wakuu embu tujuzeni ulipitiaje kipindi ukiwa huna hela maisha yamekupiga total knock out and huna kula kulala ya uhakika? Mie nimejaribu mishe za udalali ila hailipi kabisaa na ni majanga bin...
22 Reactions
178 Replies
11K Views
Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba...
2 Reactions
6 Replies
400 Views
Mzazi anakopa kwenye vikoba au taasisi ndogo bila kuwashirikisha watoto wake, na anaposhindwa kulipa, mzigo wote wa deni unahamishiwa kwa watoto. Hili kwangu mimi ni kutojitambua na kutojitambua...
3 Reactions
10 Replies
411 Views
Wakuu ==== Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa...
0 Reactions
2 Replies
481 Views
Je umekua ukisumbuka kutafuta Namba yako ya Nida kupitia simu yako? Leo nimekuletea Habari njema sana Kuna darassa jepesi sana la kuweza kupata Namba yako ya Nida kupitia simu kwa urahisi sana...
0 Reactions
5 Replies
662 Views
Tunaendelea na mada yetu ya utekelezwaji wa miradi mbalimbali mikoani. Baada ya Kigoma,Leo nakuletea List ya miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya Rais Samia Mkoani Mbeya.👇👇👇...
3 Reactions
167 Replies
9K Views
Leo katika pitapita zangu humu nakutana na mada mbalimbali zinazohusu mambo ya kiroho ..mambo ya majini, n.k, lakini kwa namna ya ajabu mada hizo ama stori hizo mtu anayesimulia ambazo husema ni...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Wakuu hili ni swali kwa wahusika au kama kuna mdau hapa mwenye ufahamu asaidie ufafanuzi. Nina jamaa yangu hapa ana tiketi ya safari ila alitaka kubadilisha tarehe ya safari ili asafiri siku za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KUULIZA KWELI SIO UJINGA AISEE JANA NILIKUTANA NA MATE MMOJA AKATAKA KUNIPA MAMBO YA KUWEKEZA NKAONA NIULIZIE HUKU JAMAA WANAITWA LSSC BAADA YA KUPATA MAJIBU HUKU NILIJIONGEZA KWA JAMAA MMOJA...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
My Take Samia siku zote ni Rais wa vitendo,porojo ,uzushi,fitina na chuki achia Haters wake. Samia atalindwa Kwa gharama yeyote Kwa maslahi ya Nchi...
1 Reactions
19 Replies
496 Views
Hivi ili uwe muandishi wa habari, mtangazaji au mhariri unapaswa kupitia hatua zipi?? Wiki iliyopita king'amuzi chetu cha Azam kiliisha. Nikawasha redio kuisikiliza mechi ya Simba na Singida...
19 Reactions
51 Replies
2K Views
Ni Mimi peke yangu siwezi kuconnect zoom?
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Uislamu unatofautisha kati ya maandiko ya asili yaliyo teremshwa kwa Mitume (Taurati kwa Musa na Injili kwa Isa) na maandiko yaliyobadilishwa au kuchanganywa baadaye na wanadamu. Hii ni sababu...
1 Reactions
29 Replies
873 Views
Mwaka 2015, stori kubwa huko Columbia ilikuwa ni mkulima asie na makuu alie gundua kiasi cha pesa dola za kimarekani milioni 600 zikiwa zimefukiwa katika shamba analo miliki. Inadaiwa kuwa hizo...
0 Reactions
8 Replies
576 Views
Uingereza India USA Russia Ndege ya abiria ya Urusi iliyokuwa na watu takriban 50 imeanguka eneo la Amur, mashariki mwa nchi hiyo, huku watu wote waliokuwa ndani wakidhaniwa kupoteza maisha...
0 Reactions
3 Replies
279 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa ametumia ziara yake nchini Belarus kunadi fursa za uwekezaji katika maeneo manne ya kipaumbele ya Serikali ya awamu ya sita...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko...
0 Reactions
5 Replies
432 Views
My Take Wako sahihi kabisa,mtaala Mpya Unaendana na vitendo Zaidi Kuliko maneno Vyuo Vikuu vingine viige.
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Back
Top Bottom