Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,623
Je umekua ukisumbuka kutafuta Namba yako ya Nida kupitia simu yako? Leo nimekuletea Habari njema sana Kuna darassa jepesi sana la kuweza kupata Namba yako ya Nida kupitia simu kwa urahisi sana.
Angalia hiyo video inafanya kazi kwa simu zote kiswaswadu na smartphone ๐
View: https://youtu.be/4mYmQaTg7DA
jinsi ya kupata Namba yako ya Nida kupitia simu
Angalia hiyo video inafanya kazi kwa simu zote kiswaswadu na smartphone ๐
View: https://youtu.be/4mYmQaTg7DA
jinsi ya kupata Namba yako ya Nida kupitia simu