Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

▪️Ni maelekezo ya Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan ▪️Lengo ni kukuza uwekezaji wa STAMICO kwenye madini mkakati ▪️Waziri Mavunde akabidhi Leseni na kuelekeza uendelezaji wa Leseni kuanza mara moja...
0 Reactions
2 Replies
466 Views
Kuna kakitabu kalitungwa na mtu anaitwa Mapunda(Kwa sasa ni marehemu kama sijakosea) nadhani pia alikuwa mchoraji kwenye gazeti la Sani miaka hiyooo ya 90. Kwenye kitabu hicho cha hadithi...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu natafuta karabai 3 moja niitundike kibaraza cha mbele, moja kibaraza cha uani, nyingine ikae sitting room. Huu umeme wa TANESCO naona kabisa hauna connection na mizimu.
3 Reactions
16 Replies
459 Views
Wasalaam Leo 24 Julai, 2025 asubuhi, nakiri kupokea taarifa kadhaa kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Baraa, Mtaa wa Kibao cha Njano kwa Mrefu, Arusha. Kwamba, mtu mmoja mzima analea binti wa...
18 Reactions
54 Replies
2K Views
Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame. Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake...
63 Reactions
200 Replies
14K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, ametoa wito kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam wa afya na malezi ili kuwalea watoto, kwa kuweka...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Mtoto wa miaka (8) Darasa la Pili anayefahamika kwa Jina la Karim Rahim amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya Pazia la Dirishani akiwa kwa bibi yake mtaa wa Osunyai Jr...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Hiv karibuni kumekuwa na malalamiko dhidi ya kizazi cha Gen Z maarufu kama "Watoto wa Elfu mbili". Je, unadhani shida iko kwa kizazi hiko au wale waliopitia mikononi mwao ikiwa ni Wazazi, Walezi...
1 Reactions
2 Replies
502 Views
Asiye na akili timamu ndiye atakayeamini maigizo ya kisiasa wanayofanya ccm na wanasiasa wake
0 Reactions
8 Replies
349 Views
Nimefikiria suala la kukodi fremu na kuirekebisha ili kuanzisha biashara yangu ya glosari naona ni gharama, bora kipatikane kindau cha kukodi kama hiko. Bei zake zikoje, kwa hicho kindau cha...
6 Reactions
23 Replies
940 Views
Sikio halizidi kichwa. Huu ni msemo maarufu wa wahenga unaolenga kuwaonya watoto kuwaheshimu wazazi/walezi wao au wafanyakazi kuwaheshimu waajiri na viongozi wao wa kazi. Anayejiita mtangazaji...
9 Reactions
91 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa, Naitwa Godfrey Tarimo, mdau wa maendeleo na mfuatiliaji wa masuala ya kijamii na kiuchumi. Kama wengi mnavyokumbuka, katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) mwaka...
0 Reactions
4 Replies
611 Views
Madalali wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Masaki na Oysterbay, Dar es Salaam, wameiomba Serikali iingilie kati kutokana na kuingiliwa kwa biashara yao na raia wa kigeni, hasa Wachina...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Kutana na dada wa kazi alieenda shule Ella ambaye yeye anasema kazi yake ni usaidizi wa kazi za nyumbani. Anasema licha ya kuwa na CPA yeye ni dada wa kazi na anafurahia kazi hiyo.
6 Reactions
105 Replies
11K Views
Mkopo wenye makato ya sh.100,000/ ,,,riba 17%,,,muda wa mkopo miaka 10. Je,nitakopeshwa sh ngapi!? Kumbuka bima 1% inakatwa kwa mkupuo.
0 Reactions
10 Replies
575 Views
Ukienda kwenye website ya HESLB na Wizara ya elimu hakuna list ingawa Mabumbe wanakwambia list iko. Mwenye nayo atuwekee hapa please Download PDF Samia Scholarship Invited to apply students...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Hao wagombea kupitia vyama vya siasa ni mafisi bora katiba itambue mgombea binafsi ambaye atapitishwa na wananchi kwaajili ya wananchi na siyo kundi la watu wanaojiita chama cha siasa iwe chama...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa chama hicho hakiogopi vitisho, ukandamizaji wala hila dhidi ya wapinzani, na kitaendelea kusimama...
1 Reactions
3 Replies
356 Views
Back
Top Bottom