Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 201
- 681
Mwaka 2015, stori kubwa huko Columbia ilikuwa ni mkulima asie na makuu alie gundua kiasi cha pesa dola za kimarekani milioni 600 zikiwa zimefukiwa katika shamba analo miliki.
Inadaiwa kuwa hizo pesa zilikuwa ni miongoni mwa sehemu ndogo ya utajiri wa Pablo Escobar ambae alikuwa mfanyabiashara mkubwa wa madawa ya kulevya.
Katika hali isiyo ya kawaida mkulima huyo aliamua kuzikabidhisha izo pesa kwa jeshi la polisi nchini humo na kubaki katika lindi la umaskini.
Ikumbukwe pablo Escobar alikuwa na ukwasi wa kufa mtu na pesa nyingi alizificha maeneo mbalimbali katika nchi ya Colombia ikiwemo kwenye milima na nyumba alizojenga mafichoni.
Kimsingi mungu akitaka kukubaria akupigii simu wala njia gani ya kukubariki, ukibebwa bebeka basi.
Pia haukupatikana ushahidi wa moja kwa moja kwamba pesa hizo ni za Pablito.