Neno linaumba, right?
Haiwezekani bado una wasi wasi na mienendo ya uendeshaji wa huduma ya kiroho ya hawa watu alafu bado una wawasilisha kwa jina la kipekee la nabii.
Kutapeliwa kuna...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770
Rais Samia katika kuendelea...
Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima...
Tangu saa 8 MCHANA mpaka sasa MUHAS imegoma ku GENERATE control number. Inaonesha hivi;
Your Reference Number for payment is : Please Wait.....
Msaada WANGU UTATOKA KWA NANI?
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa ajali ya treni ya Mjini kwenda Pugu, iliyotokea Stesheni ya KAMATA kwenye makutano ya reli na Barabara ya Kawawa, jana Mei 13, 2025 imejeruhi...
Wasaalam.
Napenda kutoa Shukrani zangu za dhati kwa maelfu ya wana JF wa Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko waliojitokeza kwa wingi kushiriki mjadala tajwa hapo juu ambao, niliupandisha jana...
Haya ni maelezo yangu kwa Mheshimiwa Dkt. Gwajima D kutokana na uzi wake alioundika jana unaosomeka >Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto
Kilichopelekea kuandika maoni...
Huwa nashangaa jitu limejaa midevu linaishi kwenye nyumba walizojenga wanaume wenzao asubuhi linaamka na boxer kabisa na kupiga mswaki yaani unapataje nguvu ya kuishi sehemu kama hiyo aisee nyie...
Ulisha wahi kukutana na tukio ambapo unampigia simu mtu..na atakapo pokea anasema na yeye alikuwa anakuwaza au alitaka kukupigia? (Hayo ni mawasiliano ya AURA)
Au unampigia mtu simu naye anasema...
Watendaji idara ya maji Mkoa wa Mwanza Jitafakarini na chukueni hatua za haraka!Eneo Na mitaa ya Nyegezi stendi.
Mwanza ni jiji kubwa ambalo, kwa idadi ya watu, ni jiji la pili kwa Tanzania...
Kama tungekuwa tunaulizwa kabla ya kuzaliwa basi ningesema niwe mwanamke ila tu hii option haipo. Wajameni kuwa mwanaume ni misukosuko tena Kwa sisi wenye kipato kikubwa japo sio matajiri...
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu .
Naomba...
Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe amewaonya wanaodai kuua watu kwa kisingizio cha kulitetea Taifa akiwaambia kuwa Taifa ni la kufia na siyo kuua watu, na kama kweli...
GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitamlaumu Balozi Polepole kwa mengineyo ila kwa hili la kusema kuwa hii siyo Awamu ya Sita kama ambavyo WANAFIKI, CHAWA na WAPUMBAVU wanavyosema na kulazimisha naungana...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema taarifa kuhusu Balozi Humphrey Polepole zitatolewa mamlaka husika zitakapokamilisha...
Kama unataka kumfahamu mchina basi nenda kwa mchaga kwanza kujua wapoje.Wachina ni watu ambao wenye kukuzoom tu ufike kilele cha mlima kilimanjaro wapite na wewe.
Wachina wana kamchezo kukupokea...
Ndoa ni agano takatifu linalomuunganisha mwanaume na mwanamke mbele za Mungu. Hata hivyo, ndoa nyingi zimevunjika au zimejaa migogoro mikubwa isiyoelezeka, kiasi cha kuwafanya wengine wafikirie...
Nyakati hizi, karibu kila mahali duniani, Shetani anaushambulia Ukristo kwa njia mbalimbali. Anatumia mapepo, watu na mitazamo ya kijamii ili kuupiga vita ujumbe wa Yesu Kristo. Yanayoendelea kule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.