Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kampuni ya Samsung Display (SDC) iliweza kutangaza kuwa muundo wa paneli mpya ya toleo jipya la simu ya Samsung Galaxy Z 7 Fold yenye uwezo wa kukunjwa OLED iliweza kuendelea kufanya kazi...
0 Reactions
3 Replies
380 Views
Nakumbuka kipindi tunasoma primary na secondary kazi kubwa ya monitor wa darasa ilikuwa ni kuandika wanaoongea darasani na mwalimu akija anapewa majina tunachapwa sasa ninajiuliza hata huko nchi...
2 Reactions
8 Replies
457 Views
Katika siku za hivi karibuni Bodi ya Ithibati kwa waandishi wa Habari Nchini(JAB),imekuwa ikijitokeza mara kwa mara kuonya waandishi wasiosajiliwa na Bodi hiyo wasijishughulishe au kufanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Huyu bibi yangu yupo huko Manyara ni mzaliwa wa Singida kabila ni Mnyiramba Katika watoto wake wa kike watatu mama yangu ni wapili. Mtoto wake wa kike mkubwa ambaye ni mama mkubwa amezaa mtoto...
1 Reactions
4 Replies
434 Views
Kamanda wa mama amjibu Polepole,adai dadaake hakutekwa bali alikuwa kwa mumewe. Unalipi la kumwambia huyu kada wa mama? 🤣🤣
0 Reactions
1 Replies
324 Views
Jamani, mpaka lini tutaendelea kuvumilia huu unyama wa kiuchumi? Mpaka lini pesa za masikini, jasho la vijana walioko kwenye economic periphery, zitaendelea kutafunwa na mifumo hewa ya “online...
0 Reactions
16 Replies
752 Views
MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amesema sheria mpya mbili za uchaguzi zimeanzisha mabadiliko muhimu, yakiwemo kuruhusu wapiga kura...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa...
1 Reactions
7 Replies
605 Views
1. Ignore him 2. Disown him. Why Ignore him? Kwa sababu anafanya makusudi. Anacho KITAKA kutoka kwenu ni attention yenu ninyi wana familia. Hawezi kuipata hiyo attention in a valid way, so...
21 Reactions
126 Replies
7K Views
Dkt. Gwajima D Watoto wadogo ni rahisi kupelekeshwa kwa namna isio sahihi. Ingawa usalama wa watoto hawa unakuwa jukumu la wamiliki pale watoto wanapokuwa shule ila tunahikkishaje kama...
2 Reactions
2 Replies
298 Views
Hivi inakuaje mkoa uliozungukwa na Congo na Burundi kuwa chini vile? Singida wasemaje? Nilipata fursa ya kutembelea mji wa Kigoma wiki iliyopita nikaanza na Nyakanazi, Kibondo, Kasulu, Manyovu...
10 Reactions
57 Replies
7K Views
Watu wote duniani wangekuwa wanaishi maisha haya wanayoishi Wakristo wa kweli, dunia ingekuwa na amani na furaha kuu. Wakristo wa kweli: Hawalipi kisasi – badala yake huacha Mungu mwenyewe alipe...
4 Reactions
17 Replies
893 Views
Just image miaka yote ya chuo wanafunzi au mwanafunzi anatumia chagAI kujibu assignment hajawahi ata siku moja kushughulisha akili yake kusoma vitabu library hio degree itakayokuja kuzalishwa hapo...
6 Reactions
18 Replies
690 Views
Bila ya kujali utofauti wa dini na Imani ,Let's gathering our prayers huwenda machozi yetu ya mda mrefu yakafutwa. Yamkini unasumbuliwa na :- -Magongwa -Unauguliwa -Addiction Mbaya -Unatafuta...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Asalam aleykum Shalom shalom Hili ni jukwaa huru, kama utakua mfatiliaji wa nyuzi mbalimbali katika majukwaa haya; 1. Hoja mchanganyiko 2. International forum 3. Jukwaa la siasa Basi utabaini...
2 Reactions
1 Replies
224 Views
Wale tuliowahi kupigwa na Ponzi schemes, majasiri tukumbushane machungu kidogo. Mimi nishalizwa na DECI na LBL. DECI kama 1.2m na LBL kama 9m hivi.
7 Reactions
11 Replies
529 Views
Wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalumu tukutane hapa. Autism (Usonji) Visual impairment -kutokuona Hearing impairment- kutosia Ulemavu wa viongo n.k Kuna kituo kizuri Sana kina na boarding...
2 Reactions
4 Replies
546 Views
Biashara ya Mtandaoni: Ushuhuda, Mafanikio, na Changamoto za Matapeli Mimi ni mdau mkubwa wa biashara za mtandaoni, na jambo linalonivutia zaidi ni pale tunapoweza kuzungumza na kufanya biashara...
3 Reactions
7 Replies
719 Views
Habarinu wana jukwaa, Huku nilipo Moshi Vijijini kuna shida ya maji mpaka kero. Idara inayohusika kuna tatizo gani watu tunakosa maji siku tatu? Kipindi kama hiki cha masika hasa ukiangalia...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom