Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeombwa kuwajengea uwezo madaktari wa kisiwani Pemba, Zanzibar ili waweze kutoa huduma za msingi za matibabu ya mifupa na ubongo...
1 Reactions
2 Replies
270 Views
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa mojawapo ya nchi za Afrika ambazo zimechukua hatua kali dhidi ya uhuru wa mtandao, ikiwemo kufungia au kudhibiti matumizi ya mitandao ya...
1 Reactions
2 Replies
465 Views
Sielewi shida ni malezi au tamaduni zetu...? Ni nyakati gani kwenye maisha yako, unahisi uliishi na watu au mazingira Mazuri kwako na kuyafurahia.. ? 1. Kipindi Unasoma O level au A level, iwe...
0 Reactions
6 Replies
470 Views
Kuna mambo mengine kama hata wao wenyewe wamekosa mtazamo. Leo hii mfano mtandao kama twitter ambao X uwezi kuingia bila VPN na kuna wafanyabiashara pamoja na mengine ambayo CCM ikiona...
7 Reactions
12 Replies
532 Views
  • Closed
Mwamba member mwenzetu humu na mfanyabiasha maarufu wa range rovers (dungujeshi) na vitu used kutokea Uingereza Chris Lukos ameonesha jumba lake la kifahari liliko mbweni kwenye media. Akihojiwa...
12 Reactions
94 Replies
5K Views
Anonymous
Mimi nina changamoti kuhusu NIDA. Nilijiandikisha Mkoa wa Kagera, Wilaya ya Bukoba Mjini, Kata ya Kitendaguro, Mwaka 2017, Mpaka namaliza chuo Mwaka 2020, Kitambulisho kilikuwa hakijatoka, lakini...
3 Reactions
11 Replies
611 Views
Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia 1.Fanya kazi kwa bidii 2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10...
23 Reactions
70 Replies
4K Views
Anonymous
Hii ni kero kubwa sana , mwezi wa pili sasa Dodoma tunaishi bila ya maji. Makao makuu ya Chama na Serikali inakuwaje maji yanasumbua kiasi hiki. Yanatoka kuanzia saa 7 asubuhi saa tano tu...
0 Reactions
1 Replies
280 Views
Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Jana tuliona na wengine kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii ikionesha watumishi wa umma wakishangilia mitaani (kwa furaha na mbwembwe nyingi) baada ya kutoka "kudroo" chochote kitu NMB...
0 Reactions
8 Replies
449 Views
Je? Hii kodi mtaipataje? Yaani mtu anatumia simu yake kutafuta wateja tena muda mwingine kwa kutumia VPN.
1 Reactions
4 Replies
278 Views
Kiasi Ina Maana Gani Katika Ukristo Kiasi ni nini Kiasi kama tafsiri yake ilivyo ni kuwa na uwezo wa kudhibiti jambo/tendo lisipitilize mipaka yake, yaani litendeke kwa sehemu fulani tu. Katika...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Kuna mfanyabiashara mkubwa sana wa chupa tupu Tanganyika ni mwana JF mwenzetu... Na ofisi zake kubwa kubwa zipo Dar.. Wilaya ya Ubungo na Temeke.. Nadhani na mikoani pia ana matawi Ni...
7 Reactions
216 Replies
3K Views
Pamoja na mapungufu yao. Hawa vijana wa kaskazini kanda za Arusha, Moshi, kilimanjaro n.k ni waaminifu kwenye biashara. Ukipata Mwanamke kutoka huko ukamkabidhi biashara mfano Duka, Pub, Mghahawa...
3 Reactions
15 Replies
583 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kuwa Hayati Mzee Mkapa atabaki kuwa mfano wa kuigwa kwa kizazi cha sasa na kijacho kutokana na mchango...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Habari wakuu! Kama ilivyo ada kila mwaka serikali inapeleka matrillioni kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu yaani HESLB ili kuwawezesha wanafunzi wamudu gharama za kupata elimu ya juu. Sasa...
0 Reactions
8 Replies
411 Views
HORACE Kolimba ni miongoni mwa viongozi waandamizi nchini ambaye Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alitofautiana naye na baadhi ya wenzake kuhusu masuala ya msingi katika uongozi na mwelekeo...
6 Reactions
13 Replies
12K Views
Niwapi nina weza pata HISSOP_HISOPO FRANKINCENSE-UBANI MYRRH_MANEMANE na mafuta ya mzeituni
1 Reactions
9 Replies
481 Views
Hii biashara soko lake limejaa vijana walioharibikiwa akili na ufahamu. Bajaji moja sasa si chini ya millioni 10 za Kitanzania. Pikipiki moja sasa si chini ya millioni 3 za Kitanzania. Utupe...
2 Reactions
8 Replies
635 Views
Watu wengi huwa wanadhani kulea mtoto ni kumpenda na kumtimizia majukumu kama chakula, nguo, elimu na matibabu. Kulea kunahusisha pia kitu muhimu kumjenga mtoto kitabia, Kina mama wengi wa...
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Back
Top Bottom