Swala la vyeti tanzania bado ni tatizo wengi wanavyeti ya kuungaunga tu janjajanja tu mjini
Katika hili swla la waandishi wetu wa habari tena maarufu kukosa sifa ni taswira tosha ya elimu yetu hii...
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :-
-NHIF
-ASSEMBLE
-STRATEGIES
-JUBILEE
-Cigna
-BRITAM
-BUPA
-UAP
-HEALIX
-WCF...
Kabla ya kufika dini zilizoingia nchini kwa meli, waafrika, wa hapa Tanzania ya sasa walikuwa tayari wana imani zao za asili. Ambazo zilitamalaki na watu wakaziamini kwa uwazi kabisa nazo...
Habari za majukumu wakuu?
kutokana na kuibuka Kwa wimbi la wanaume kubambikwa watoto ambao sio wao na kuwalea, na kuleta taharuki au sintofahamu kwenye mahusiano, kwanini isipitishwe Sheria...
Media zetu zinafanya very poor PR hasa kwa hawa wagombea au watu wenye vyeo uchwara. This is sad kwa sababu sasa huyu ni nani tena?
Ana umuhimu gani hasa na tena cheo chenyewe ni huko Indonesia I...
Habari JF
Nina omba msaada wa mawazo yenu.. hivi kwa mfano ukiwa na fixed deposit akaunti kiasi cha sh.mil 100 unaweza kuifanya kama dhamana ya kukopea bank, halaf riba ndo iwe inalipa mkopo wako...
Moja kwa moja kwenye mada;
Wenyewe wanaita green city, hii sio kweli . Jina linatakiwa liwe Dusty City.
Hivi pamoja na Hali ya hewa nzuri kitu gani kinazuia halmashauri ya mji kuwa na mipango ya...
Habarini wapendwa Niko mkoani kidogo nimekutana na mate wangu
KTK story za hapa na pale akaninijuz biashara ya LSSC
Binafsi huko nyuma nilishawahi wekeza sehemu nkapigwa
nkaona nimuulize mwenye...
Hii bodi isiishie tu kwa wana habari na waandishi iangazie pia kwenye udalali.
Kuna madalali wengi Sana ni Uchwara. Mbona wameweza kudhibiti watu wa auction hadi wawe wamesomea Sheria?
N'yadikwa
*JINSI YA KUONDOA ERROR 77 KWENYE MITA ZINAZOANZA NA NAMBA 2421...*
*ERROR 77*
Hii ni error ambayo inapatikana kwenye mita tengano maarufu kama mita za rimoti au CIU ambazo zinafungwa juu ya...
Yani huduma za kibongo huwa zinaanza vizuri ila baada ya muda basi customer care inakuwa zero.
Mimi ni mtumiaji wa Yas Fiber kwa zaidi ya miezi 8, na nilifungua ahdi thread humu naisifia kweli...
Hizi fremu ni nyingi sana kama ziko chini ya JW wamefanya la maana sana kuliko kulivyokuwa na pori linatufugia viumbe hatarishi na misitu isiyokuwa na faida.
Yaani ukifika usawa wa Lugalo upande...
Habari wakuu natumaini mko poa. Sasa nilikuwa naomba uchanganuzi/ushauri kuhusu kujiwekeza kufungua labda stationary, mgahawa wa chakula, nguo.
Mimi naishi Kibaigwa, sasa hapa jirani Mtanana...
Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi mwaka 2015, Maliki Marupu, amemjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama...
Kuna mambo nawaza majibu rahisi ambayo polisi uchukulia.
Mfano kesi ambazo wanapotea bado zipo kwenye uchunguzi mpaka zikawa giza.
Leo hii kama taharuki mshawahi kutoa taarifa kujua miaka 11 ni...
Mlio karibu nao muwape taarifa wanafeli sana .
Mtu unahela kwenye simu ila unakosa kulipia dili au lala njaa kisa mtandao wao .
Soma pia Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.