Ijumaa Karim.
Mara kadhaa nimekuwa nikiona kwenye sherehe mbalimbali na hata wakati mwingine kusikia kwa waliona sherehe ambazo sikubahatika kuudhuria haidha kwa kutoalikwa au vinginevyo wakisifu...
Hili swala la kulipa Kodi mtandaoni halijakaa Sawa kabisa.
Mimi nilipie tangazo la biashara yangu wakati kwenye hiyo Hela ya kulipa mnachukuwa Kodi yenu.
Mimi ninunue MB kuingia mtandaoni wakati...
Wakuu Sam Altman anachakuwaambia juu AI na hatari iliyopo kwenye hizi njia tunazotumia kuthibitisha inapofanya miamala , Mkurugenzi Mkuu wa OpenAI, ameonya kuhusu Janga linaloweza kutokea, ambalo...
Mimi kama kijana mzalendo wa nchi yangu tanzania ningependelea mawazo tofauti tofauti kuishauri selikali yetu
Mfano
Ungekuwa rais wa tanzania ungeifanyia nini nchi kuiepusha kwenye kundi la nchi...
Wakuu
Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida,
Taja Tu chama wala...
wakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate
NB: Nyie wa kulike kila comment tafadhari sana...
Maboss kwema umu?
Aya mandoto bhaana miyeyusho kweli jana usiku nimeshituka mida mibovu balaa baada ya lindoto la kutisha nimeota rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapiga naye job wilaya...
Siri ya Mafanikio ya Kiroho Kwenye Biashara: Funga/Swaumu yenye Roho Safi.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kama unataka kufunga kwa ajili ya mafanikio ya biashara, anza kwa kutengeneza moyo...
Iko hivi Juzi niliomba Mkopo Kupitia Application ya Ess ya Watumishi Nimezoea kufanya Hivyo na Ninapata Cha ajabu Kipindi hiki Ikachelewa Sana leo naangalia nakupa Mkopo Umekuwa Rejected na FSP...
Nimepita mitandaoni kama kawaida mimi ni mpenzi sana wa Kufuatilia mafundisho ya Dini hasa ya Kikristo napenda sana huduma za Kinabii pia. nimekutana na hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Prophrt...
Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha.
Nilimbishia ila...
Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani...
ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE!
Anaandika Robert Heriel
Kuhani.
Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40...
Kwa nini kila ikikaribia au kila baada ya uchaguzi tunashuhudia kupitishwa kwa sheria mpya au utekelezaji wa sheria na kanuni ambazo zinaonekana kudhibiti haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa...
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Usafiri Kijiji la dsm ni mbaya sana. Ukitaka kupata nafasi kwenye daladala utalazimika kupanda daladala linalokwenda mwisho wa gari kisha ugeuze nalo kwenda safari...
Hivi huyu mkandarasi anayejenga Daraja la Mkuyuni hapa Mwanza anakuwa na shida gani ya kutomwaga maji kwenye barabara ya muda.
Unakuta inaweza kuchukua mpaka siku mbili Watu tunateseka na vumbi...
Wa Africa tulikua bize na shughuri zetu za kila siku za kuwinda na kukukusanya matunda porini mara pap, mnamo miaka (1840- 1888) ndo tukapata habari kutoka ughaibuni kwamba kuna mtu amekufa kwa...
Wakuu mi huwa sielewi kitu hizi hospital zetu. Mgonjwa anapokufa wanadai ulipe bili ndio wakupe mwili.
Kwa nini niwalipe wakati wamefeli kutoa huduma na mteja amekufa.
Mfano ukienda gereji na gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.