Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi mpaka magari yanashika Moto Kiasi kikubwa chanzo kinaweza kuwa nini.Tumepita saa nne hapo dereva daladala anasema Moto umeanza saa tisa usiku.
4 Reactions
6 Replies
531 Views
Huwa na jiuliza. Serikali kuanzia Rais mpaka mawaziri Kazi yao hasa ni nini? Yaani wao wakipokea kodi wamemaliza Kazi. Bakressa na Mo hawa wote ukiwafatilia utajiri wao Unatokana na kunyonya...
28 Reactions
231 Replies
7K Views
Kwa wanaoelewa nini kimetokea maana Wastaafu mpaka leo 26.07.2025 kila wakichungulia vibubu vyao hawaoni kitu wakati kuanzia tarehe 20 vibubu vinakua tayari vimeshajaa. Nini kimetokea huko Hazina?
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Mwendokasi upande wa DART, kuna changamoto ya uuzaji wa kadi, kwa sasa mfumo ambao unatumika ni wa kutumia kadi kununua tiketi lakini wao wametoa maelekezo kuwa hawatakuwa wanauza kadi siku za...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Ni kijana wetu mdogo mdogo, ameachana na mateso ya kuajiriwa anataka kufanya biashara yake mwenyewe. Ana kijilaki chake cha mchongo, anahitaji kutengeneza 10,000 tu kwa mwezi Msaidieni kwa hilo...
2 Reactions
12 Replies
584 Views
any way Siasa zenu we can't enjoy our silent life. you tube is down leo usiku, na sijui shida nini ila with vpn ipo fresh. siku njema
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Kama ushawahi kuona wachimba madini wakiwekeza pesa nzuri na mwisho wa siku madini yakitoka hakuna la kushuku kwa mafanikio yao. Huyu mr dengu za pilipili zenye binzari kali napata mashaka ya...
3 Reactions
12 Replies
822 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Kwetu sisi ambao tunashinda kitaa hapa na pale wote tutakubaliana kabisa kuwa pole pole alichokifanya ni kama kugonga msumari kwenye geneza Kawafanya...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeeleza kwamba zoezi la majaribio ya Mabehewa ya Mizigo limekamilika kwa ajili ya kuanza rasmi operesheni ya kusafirisha mizigo inayotarajiwa kuanza June 2025...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
  • Closed
Kama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu...
3 Reactions
57 Replies
1K Views
Ndugu wataalam wa fedha, wachumi na wabobevu wa mambo ya pesa. Nauliza ni benki gani inatoa mikopo walau yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali, kuna mfanyakazi mwenzangu amekopa benki moja...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Ujumbe Muhimu wa Onyo ICYMI (Kama Hukufahamu): Giza la Siku 3 Halikughairiwa, Bali Lilizuiliwa. Mwenyezi Mungu yuko kimwili hapa duniani na Ufalme Wake huru. Vifaa vya Hukumu vinazunguka duniani...
1 Reactions
4 Replies
432 Views
Ni hivi, Tanzania kuna janga la kimyakimya ambalo tumeamua kufanya ni jambo la kawaida sana. Umalaya. Wanawake wengi walioolewa na wasioolewa wanafanya umalaya pengine wao wanaona ni jambo la...
2 Reactions
13 Replies
537 Views
Naombeni mnijuze, mimi ni bodaboda hapa kazuramimba. Mji leo umechangamka, NMB pamefurika, baa zimechangamka. Leo ukipaki kijiweni dakika mbili tu mteja huyu hapa!! Leo kuna siri gani huko?
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Hivi karibuni ulaya itasambaratika na kuwa eneo jipya la mapigano ya kivita, ulaya haifahamu kuwa Israel ambayo imekuwa ni uzio kwao wa kuwazuia itikadi kali na magaidi ambao ndio wapangaji wa...
1 Reactions
2 Replies
285 Views
Ulipata GPA ya ngapi university? Me.4.0 Wewe je? NB: Special kwa wenye elimu
6 Reactions
117 Replies
5K Views
Ety wakuu sina maisha sina KAZI Nawezaje kuwa Maarufu uenda nikapata pakuingiza mia miambili Matusi ruksa Haina shida
3 Reactions
33 Replies
841 Views
Leo baad ya habari ya saa mbili kamili kuisha na kisha kufata ki pindi cha hotuba wa baba wa taifa kisha ikafika saa tatu kamili kuanza kwa junguu kuu basi wakaweka kibagizo cha nukuu ya mwalimu...
4 Reactions
5 Replies
607 Views
https://www.youtube.com/shorts/bod30mkvHJQ?feature=share
0 Reactions
0 Replies
159 Views
SEHEMU YA KWANZA: URAFIKI WA DHATI. Ni kwenye ile wilaya niliyoiongelea kwenye ile stori yangu ya jinsi nilivyokutana na singo maza wa kiarabu. Ni miaka mingi imepita, wakati huo nilikuwa kidato...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom