Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau! Naomba kujua mchakato wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Mwamba kashachukua uraia. Kiingereza kimenyooka kuzidi wazawa. Asante Kigoma.
5 Reactions
9 Replies
540 Views
1. Kwanza ni-declare Interest, Mi ni moja ya wanufaika wa Internet. Nimejiajiri kupitia internet na cycle yangu kubwa ni hawa influencers, freelancers, content creators, advertisers, etc. 2...
2 Reactions
3 Replies
532 Views
Habar za wakati huu ndugu wanajukwaa, Namtafuta Mama Ashura,huyu Mama Ashura ni mganga wa kienyeji.Miaka tisa iliyopita alikuwa anaishi na kufanyia kazi zake za uganga sehemu iliyoitwa 'MUGANZA'...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 25, 2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi. Majaliwa alipokelewa na Balozi wa Tanzania UAE Luteni Jenerali...
1 Reactions
5 Replies
394 Views
Mbali na mtu kuona maono au kuota ndoto Kuna mambo mengine ambayo nimeshawahi kuona yakitokea kwa watu wengi, na wengine walikuwa wakiniuliza ni nini maana yake lakini wasifahamu, hata mimi...
2 Reactions
2 Replies
432 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa serikali inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali na...
1 Reactions
2 Replies
481 Views
Nimesoma hii article pale kwenya magazeti ya Shigongo, ikanishtua kwa vile inaoneka utabiri wake ulikuwa kweli kabisa. je ni coincidence tu au ni kweli alikuwa anajua kupiga mahesabu ya kuona...
22 Reactions
129 Replies
40K Views
Africa tumelishwa UJINGA mwingi sana yaani sisi bila hizi dini labda tungekuwa na ulinzi mkali kuhusu rasilimali zetu. Hapa. Mzungu na Mabara mengine yote wanafuata RASILIMALI AFRICA ila sisi...
9 Reactions
20 Replies
889 Views
Yesu alipokuwa akiingia Yerusalemu siku ile ya mitende, watu walitandika mavazi yao chini na kuushangilia ujio wake kwa sauti kubwa, wakisema: “Hosana! Amebarikiwa mfalme ajaye kwa jina la Bwana!”...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Nawasalimia nyote. Nimekuwa nikifuatilia mahojiano mbalimbali ya moja kwa moja kipindi cha morning trumpet, Azam TV. Kwa maoni yangu mtangazaji Goodluck amekuwa akifanya mahojiano bila weledi...
1 Reactions
14 Replies
934 Views
Nimejiuliza kwa nini yale mapepo kwenye Biblia yaliomba yakaingilie nguruwe ambao walikuwa mbali sana na sio mbuzi, ngombe au kondoo? ( mathayo 8:28-). Nikajiuliza nani aliyebuni uongo kuwa...
8 Reactions
75 Replies
3K Views
Habari za wakati huu popote ulipo.Je yaliyosemwa kwenye biblia yanatimia kwa sasa? Katika biblia kuna ujumbe juu ya ishara na matukio mbali mbali yatakayo tokea kipindi tunaelekea wakati wa ujio...
0 Reactions
2 Replies
275 Views
Wakuu salamu, Naomba kujuzwa, hivi ni sheria kuwa kila mkazi wa dar kulipa hela ya taka kwenye eneo lake la biashara hata kama biashara yako haizalishi taka? Kumekuwa na tendency ya wakusanya...
1 Reactions
11 Replies
681 Views
Naanza kwa kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania , mama yetu Samia Suhulu Hassan katika raisi aliefanya mambo makubwa pia jina la Samia suluhu hassani haliwezi kukosekana. Leo ukifika...
0 Reactions
1 Replies
265 Views
Lesson learned Wale jamaa pamoja na ujanja-ujanja wa mjini lakini nahisi walikuwa wanatumia dawa. Ilivyokuwa Saa 10 asubuhi nikawa Ubungo tayari kuisubiri saa 12 bus liondoke kuanza safari ya...
13 Reactions
28 Replies
1K Views
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeitaka Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi, Vodacom kufika mahakamani na kuwasilisha nyaraka inazotarajia kuzitumia katika kujitetea...
7 Reactions
62 Replies
10K Views
Maeneo mengi ya vijijini watendaji wamegeuka miungu watu huku wakidai pesa nyingi kwa ajili ya kuwapa hiyo namba Ikumbukwe waombaji mkopo ni watoto wa masikini kwa asilimia kubwa lakini nchi ipo...
1 Reactions
5 Replies
374 Views
Back
Top Bottom