Ajali imetokea maeneo ya Kisumo( katikati ya Gongo la mboto na Pugu)
Daladala( minibus) la Chanika to Machinga Complex laacha njia ( inasemekana lilikuwa linatanua) na kugongana uso kwa uso na...
Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema Iran usiku wa kuamkia leo imevuka mstari mwekundu kutokana na mashambulizi yake ya makombora kulenga maeneo ya kiraia hivyo ijiandae kwa majibu...
Kimsingi jana ilikuwa ni siku ya ndoa kati ya CCM na wafanyabiashara. Ni tukio la kuhuzunisha mno kwenye siasa za Tanzania.
Ukiwa mzalendo huwezi kufurahia chochote kwenye ile harambee. Chama...
Baada ya miaka 12 ya kutafuta bila mafanikio, hatimaye James Howells ameamua kuachana rasmi na jitihada zake za kuipata diski kuu (hard drive) aliyotupa kwa bahati mbaya mwaka 2013. Ndani ya diski...
1. Anakupa amani ya moyo hata katikati ya changamoto.
2. Anakupa furaha ya kweli isiyoyumba kwa hali za maisha.
3. Anakupa hekima ya kufanya maamuzi sahihi.
4. Anakupa nguvu ya kuvumilia...
Katika hatua ya kihistoria na kishindo kwa sekta ya utalii nchini, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Agosti 12, 2025...
Unapotaka kufanya ukarabati mdogo, Kuna utaratibu wa kupata kibali, ni chanzo Cha mapato Kwa Manispaa.
Shida kubwa mwezi Mzima mtu unazungushwa na mlolongo wa sababu zisizo na Mashiko.
wakati...
Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani.
Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine...
Mtu wa Mungu, kumpokea Yesu hakuangalii dini ya mtu, ni moyo wako tu. Neno la Mungu linasema kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye...
Kuna mtu alituma andiko kua mafanikio ya taifa stars ni kua waislamu wamepewa nafasi. Hilo ni andiko la ajabu sana na huyu mtu ningekua na mlaka ningempa onyo kali sana kwa kuleta fitna.
Kwenye...
Huduma za uokoaji zinaendelea kuwaokoa takribani watu 22 waliofukiwa na kifusi, katika machimbo ya dhahabu ya Nyandolwa, Shinyanga Tanzania.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mboni Mhita amesema tukio...
BADO SIKU 12: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Jenga jamii iliyo salama na yenye matumaini kwa kumshirikisha Afisa...
Kwanza niipe hongera serikali kwa kwa upanuzi wa barabara ya Kimara-Kibaha siku hizi ukitoka Kimara Stop Over mpaka Kibaha unateleza kusimama ni kwenye mataa tu.
Ila janga ni ile barabara ya...
Habari Wakuu,
Naomba kwa yeyote anaefahamu utaratibu wa kufuata, mahali na gharama za kupata leseni ya kujifunzia udereva yani Learner License.
Natanguliza Shukrani.
Nikiwa katika eneo la Mtemi Beda Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi, nilipokwenda kumjulia hali bibi yangu mzaa baba ambaye ni mgonjwa sana, Nimeona kero ya muda mrefu ya ubovu wa barabara ya Mtaa wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi, amepiga marufuku kutozwa fedha kwa wananchi wanaotumia vyoo vilivyopo katika eneo la mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha-Mount Meru kufuatia...
Katika Ulimwengu wa roho Sadaka ya Gunia la viazi mbatata aliyotoa Lucas Mwashambwa pale Mlimani City jana kuchangia chama ina thamani kubwa kuliko billion 10 ya GSM na rafiki zake
Lucas ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.