Yaani tusiseme sana,africa inachangamoto aiseeView attachment 3439495
Unamaanisha nini kusema hakuna umeme?Hii nchi ndio inatia aibu
Ni peke yake ina bahari na maziwa makubwa matatu bara nzima.....
Lakini mpaka leo, hakuna umeme wala maji......
View attachment 3439509
Huku niliko wamekata umeme muda huu…Unamaanisha nini kusema hakuna umeme?
Lkn c ipo au hakuna kabisa?Huku niliko wamekata umeme muda huu…