Barabara ya kimara - ubungo mwanzo walikuwa wanapiga kazi hadi usiku ukipita unaona mataa watanzania tukasema hapa kazi tu kweli pilika pilika fasta fasta ila miaka nenda rudi huu mwaka ni watatu...
Pete hizi naona wanavaa watu wa tasnia karibu zote kuanzia wachungaji, wavuta bangi mtaani, wasanii, wanasiasa, matajiri, masikini, watu wenye imani za mashariki ya kati. Inavyoonekana hazina...
Ni jambo la kusikitisha kwamba tangu mwezi wa February hadi sasa, fedha za kujikimu kwa watumishi wapya hazijatolewa.
Kimya kimya, fedha hizi zimezuiwa, na kila jaribio la kufuatilia huambulia...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai...
1/ Nchi fulani, mvua inanyesha kwenye paa lililovuja, lakini mwenye nyumba anajisifu kununua mwamvuli mpya kwa marafiki zake.
2/ Wamepanda miti mingi ya kivuli katikati ya jangwa, lakini...
Hivi karibuni wamejitokeza watumishi waliojaa kiburi mithili ya shetani mwenyewe.
Mtumishi anathubutu kusema ukiniwekea pesa hapa na mbingu nachagua pesa.
Kwamba amestuka mbinguni hakuna issue...
Wakuu wale wadau wa hiphop hebu andika amri moja hapa kutoka katika hii ngoma na uielezee unavyoweza kuitumia katika maisha yetu ya kila siku.Najua jamaa aliimba kuhusu 'Crack' ila hizi ni sheria...
Mara nyingi huwa naishia tu kuziangalia karibia lisaa tu nikitafakari sana 😢. Zinanipa hali fulani ya huzuni sio huzuni na sijawahi elewa ni kwa nini. Hata movies za Charlie chaplin hususani ile...
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi Beach eneo la Mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza...
Ni zaidi ya siku 20 zimepita tangu dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Deogratius Shirima (34) mkazi wa kata ya Korongoni wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, kudaiwa ametoweka katika...
Vuta nikuvute vilio na simazi vimesikika kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya mjini ikiwemo Jangombe Lofi, Michenzani na Kisonge mara baada ya kuvunjiwa Vibanda na Maduka yao na sehemu za...
Mfano wangu wa kuilinganisha dunia na ulimwengu.
Tuseme umebeba mzigo ambao unauzito wa ulimwengu wote halafu kwenye kutembea ukaidondosha dunia. Basi hauta hisi kama umepoteza chochote atakama...
Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha...
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina na Omary amefariki baada ya kujirusha kwenye treni eneo la Ubungo Maziwa baada ya kudaiwa kumua mke wake Mwanahamisi Mjeshi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa...
Mfanyabiashara wa Miamala ya Kifedha alinayefahamika kwa jina la Method Asheri Mkazi wa Mtaa wa Majengo Mapya Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro amevamiwa na Watu wasiojulikana Kisha kuporwa begi...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Alfred Mtambi, ameongoza hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa miradi ya uboreshaji miundombinu katika Manispaa ya Musoma chini ya Mradi wa Tanzania Cities...
Qatar imekuwa ikishirikiana na Muslim Brotherhood kwa miongo kadhaa.
Sheikh Yusuf al-Qaradawi, mwanatheolojia mwenye ushawishi mkubwa na mfuasi wa Muslim Brotherhood, amekuwa na uhusiano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.