Chupuchupu ChatGpt imuue...!
Kadri siku zinasonga ndivyo mamia na mamia ya watu wamekuwa wakitumia akili undwa (AI). Licha ya kwamba mara kadhaa akili undwa ama Google imekuwa ikitoa angalizo...
East Africa Commercial and Logistics Center (EACLE) hii ina maduka 2000 na pia inatarajiwa kuwa Centre ya biashara Africa Mashariki
Pale nilikwenda na familia siku ya jana aiseee wachina...
Habari za wakati huu.
Nimeona nichangie jambo moja kuhusu msamiati wa kipagani ulioingizwa katika midomo ya baadhi ya wafuasi wa dini za kiislamu na kinaswara (kikristo) kwa kusema kuwa kaburi ni...
Na Mjumbe wa Nafsi za Watu
Je, ukoloni pekee ndiyo unaolaumiwa? Au kuna mengine zaidi? Hili ni swali ambalo linaibuka tena na tena miongoni mwa wachambuzi wa historia, maendeleo na siasa za...
Jumla ya wagombea 208 kati ya 209 wa nafasi ya udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma waliopata ushindi kwenye kura za maoni, wamepitishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya mkoa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Innocent Bashungwa amewatunuku vyeti vya kuhitimu wafungwa 170 waliokuwa wakipata mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha...
Habari ndugu zangu.
Nina Tin Number, Certificate ya Chuo cha udereva nilichosemea na Learner,. Kama una connection ya namna naweza pata leseni ya udereva class D kwa urahisi. Nicheki PM...
Kwa mtazamo mkubwa watu wengi wenye Makampuni, au watengeneza ajira hasa zinazo hitaji ubunifu kwasasa hawaajiri watu wenye alama kubwa za kiakademiki/darasani 85-100%. Bali Hupenda kuwaajiri...
Kuna rafiki yangu alikuwa na mwanamke akafanikiwa kuzaa naye watoto wawili,badaye akaachana na huyu mwanamke akao mwanamke mwingine akafanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja.
Bahati mbaya huyu rafiki...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendesha zoezi la Kliniki ya Ardhi Mkoa wa Dar es salaam Manispaa ya Ilala Kata ya Kivule na kutoa Hatimiliki kwa wananchi ambao wamekamilisha...
Mtakatifu MARIA GORETTI
Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano...
Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la...
Meneja wa Chama cha Msingi cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Zaituni Tembo amekiri kuwa hawajafanya malipo kwa Wakulima wa zao la Tumbaku ambao walijitokeza na kulalamikia chama...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la...
Wakulima wa zao la tumbaku kutoka Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamika kutolipwa fedha zao hadi hivi sasa licha ya...
Habari wanandoa!
Sina maelezo mengi, kichwa cha habari kinajieleza.
Kwa kuwa uelewa wangu si mpana kwenye mambo ya kodi hapa Tanzania, ningependa kujua kama B 100 za harambee ya CCM kodi...
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi, Onesmo Buswelu ameuta uongozi wa Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati kulipa haraka malipo yaliyocheleweshwa ya Wakulima...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Agosti 13, 2025 amekagua mabasi mapya kwa ajili ya awamu ya pili mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT-2) pamoja na miundombinu ikiwemo kituo kikuu cha mabasi hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.