Msaada; jinsi ya kupata 'learner license'

Msaada; jinsi ya kupata 'learner license'

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
238
Reaction score
179
Habari Wakuu,

Naomba kwa yeyote anaefahamu utaratibu wa kufuata, mahali na gharama za kupata leseni ya kujifunzia udereva yani Learner License.

Natanguliza Shukrani.
 
Habari Wakuu,
Naomba kwa yeyote anaefahamu utaratibu wa kufuata, mahali na gharama za kupata leseni ya kujifunzia udereva yani Learner License.
Natanguliza Shukrani.

nenda TRA na copy ya kitambulisho chochote ambacho kinakutambulisha au copy ya fomu ya chuo cha driving watakupa fomu ukisha ijaza kesho yake watakupa tin no baada ya apo utapiga picha gharama ni sh 10000
 
Ahsante sana Mkuu
 
kumbuka tin namba na kupigwa picha ni bure. leseni ndo utalipia 10,000. mia
 
mkuu na hii leseni ikiisha mda wake wa kua valid inatakiwa mtu afuate utaratib gani?

Hiyo lesen ikiwa valid inatakiwa ukate nyingine cz hiyo kitu inaenda na muda inafanya kazi kwa miezi 3
 
Hiyo lesen ikiwa valid
inatakiwa ukate nyingine cz hiyo kitu inaenda na muda inafanya kazi kwa
miezi 3

mkuu yangu iliisha muda toka january..sijaweza kuenda TRA..lazima niende branch walilonikatia ile ya kwanza?na haina tatizo kwa huu muda niliokaa baada ya leseni kuisha muda wake?
 
Mimi nina swali mkuu sasa kama hauna cheti cha driving lesence ila unataka leseni ya leaener na una NIDA inakuaje apo?
 
Back
Top Bottom